Nani amekiua kiwanda cha kutengeneza magari aina ya nyumbu kihaba pwani tz? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani amekiua kiwanda cha kutengeneza magari aina ya nyumbu kihaba pwani tz?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Salehe Ndanda, Aug 10, 2009.

 1. S

  Salehe Ndanda Member

  #1
  Aug 10, 2009
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  You know, Tanzania tumewahi kutengeneza GARI' aina ya 'NYUMBU' Kikosi cha jeshi nyumbu kibaha Pwani. Magari hayo yapo kama ujawahi kuyaona nenda katika maonyesho ya nane nane utayakuta. Nani kaua kiwanda hicho? mpaka sasa tungekuwa tumetoa matoleo mangapi ya gari?
  hivi hawa wazungu wanatutakia mema kweli? unamuona rafiki yako msingi wake unakufa wewe unaangalia tu , wakati unaweza kumsaidia. SINA MAANA KWAMBA WAZUNGU NDIO WAMEUA KIWANDA CHA NYUMBU RAAA ASHA, KWANINI WASITUSAIDIE KISIFE? hawa wazungu wanataka MADINI TU. SERIKALI YETU KILA SIKU WANANUNUA MAGARI YA KILA AINA, AFRIKA YA KUSINI WANATENGENEZA MAGARI KIUCHUMI HATUWAPATI LAKINI WAO WANAUMEME WA UHAKIKA WANAUMEME WA NUCLEAR THUS WHY UMEME HAUKATIKI OVYO.
  NANI KAUA KIWANDA CHA NYUMBU?
   
 2. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Labda ni wafuasi wa Meremeta na EO(Excutive Outcomes).
   
 3. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Level of serious ktk innovation and to put the product ktk soko ni kidogo!
   
 4. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  seriousness kweli ni ndogo-haiwezekani magar ya nyumbu tangu those days hadi leo-bado wameshindwa kuyafanya yatembee mitaani-
  mimi nilikuwa nikiyasikia-lakini ni muda sasa siyasikii tena,hata ukiangalia kweli majarida ya jeshi kama ulinzi na vijanaleo sioni hizi taarifa zinazohusu magari ya nyumbu-
   
 5. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Hahahaaaaa, wahindi tulianza nao, leo wanatuuzia TATA safi kabisa. Ukosefu wa utashi wa kisiasa, ubunifu na moyo wa kujitolea. Nilienda kwenye maonyesho ya Jeshi yaliyo fanyika air wing ukonga niliona gari moja safi kabisa ya nyumbu. Yule mtoa maelezo wao alikuwa jamaa moja ya masasi Mtwara aliniambi sabasaba iliyo fuata wangetoa magari 7 kwa ajili ya kuyauza, lakini sikuyaona. Ila ukipata picha ya hayo ya miaka ya mwanzo ya 2000 ukiweka kwenye forum ya jokes hautakuwa umekosea. Nikichekesho tosha.
   
 6. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  NYUMBU IMEUWAWA (pamoja na mambo/sababu nyingine) MIMI NA WEWE , HATUNUNUI BIDHAA YETU ITAIENDESHA VIPI? TTCL,ATCL,TRCL,URAFIKI,KIBO MATCH,KIBUKU na kadhalika....! "MIMI SINA UTAMADUNI WA KUNUNUA BIDHAA YA NYUMBANI, SIILINDI NA BIDHAA SHINDANISHI HATA KAMA BIDHAA HIYO INAZIDI UBORA NA KUTONDOLEWA KODI ....MIMI NI MUHUSIKA NAMBA MOJA WA KUUWA KIWANDA CHA NYUMBU NA VIWANDA VINGINE VYA KIZALENDO"
   
 7. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  lakini pia wawekezaji wabovu ndo wanaoua kampuni za hapa tz kuliko hata sisi wateja
   
 8. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nimejaribu ku-google-nimepata baadhi ya picha za nyumbu
  nyumbu.jpeg
  nyumbu1.jpeg
  nyumbu2.jpeg
   
 9. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,131
  Likes Received: 3,320
  Trophy Points: 280
  Duuh! Nyumbu.! Hilo ni Jina la gari au la mnyama pori..lol.
   
 10. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Nyumbu imeuwawa na ufisadi wa procurement katika idara za serikali na jeshi.Maofisa wanapend kununua badala ya kuwekeza katika R&D(Reserch and Development)-kwa ajili ya 10%.
  This is the problem pure and simple.
   
 11. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Nyumbu the proud of kilimanjaro and serengeti
   
 12. W

  Wajad JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,128
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 180
  Kwani Toyota ni jina la gari au la mtu?
   
Loading...