Nani amefika equatorial Guinea? Nimesikia rais wao amekaa miaka 40 madarakani jee maendeleo yakoje huko?

Huko mbali kufanya nini? Twende Zimbabwe tumuulize Mugabe zile hela na majumba aliyoweka nchi za nje ataanza kuyatumia lini? Namuona siku hizi ametinga ndani ya track suit na pampers za bei mbaya
 
Rais kama huyu siku akipinduliwa au kutoka kwenye nafasi hiyo.. atakua na kesi nyingi sana za kujibu...

Sababu ni dictator hatari sana huyo Rais...

Cc: mahondaw
 
mkuu you can google that county pls, kwa swahili unaweza kugoogle hio taifa na ukajisomea weyewe, sasa si katika miaka ya 60s na 70s , google imefanya kazi iwe rahisi mkuu
ni kweli google tunafanya kazi iwe nyepesi kuliko wepesi karibu google helper hapa.
 
Nilifika kisiwani Bioko ambapo ndipo ulipo mji mkuu wa Equatorial Guinea unaoitwa Malabo mwaka 2017.
Kiujumla nchi yenyewe ni ndogo kieneo na ina wakazi wachache sana. Maana wakati huo kulikuwa na raia kama Milioni moja na laki tatu.
Siasa zao ni za chama kimoja huku ukoo wa Nguema ukiwa ndio umeshika hatamu. Kuna makabila mengi ila kabila la Nguema ambaye ndiyo rais lina karibia asilimia 90 ya raia wote hivyo wana ushawishi mkubwa wa kuamua maamuzi ya nani awe au aendelee kuwa rais.
Rais na makamu wake wa rais ni wanafamilia lakini pia mawaziri wengi ni kutoka katika familia moja.
Hali ya uchumi ni mbaya licha ya nchi hii kuongoza katika kupata mapato kutokana na biashara ya mafuta.
Wananchi wana hali za kawaida tofauti na familia za viongozi.
Ila kuna vibinti vyeusi virembo vya kutosha hapo Malabo.
Hawa raia wa nchi hii ni wapole hatari.
hivyo vibinti hivyoooo wapi picha ?
 
Big no! Miaka kumi inatosha
Kwani jiwe kafanya kipi kibaya mpaka sasa, kwani kanunua mtaa nchi za ulaya!!? au kashaenda ulaya au amerika kula bata, uyu ndo kiongozi tuliyemuomba Mungu kipindi chote kile cha malalamiko km wana waisrael wakiwa utumwani misri, muacheni Jiwe lipige kazi, I'm so proud for you uncle. God bless you
 
Hata mie naamini kuwa Baada ya Nyerere ni Magufuli. Anaisaidia nchi hii ila Kiongozi yeyote akifikisha miaka 10 anafaa kuondoka na kuruhusu mwingine. Kitu anachotakiwa kukifanya kipindi chake cha pili ni kuhakikisha anaacha katiba ambayo watakaoitengeneza wasigombee uongozi kwa miaka 20.
 
Usimfananishe Nyerere na mambo ya kijinga!!
 
Nilifika kisiwani Bioko ambapo ndipo ulipo mji mkuu wa Equatorial Guinea unaoitwa Malabo mwaka 2017.
Kiujumla nchi yenyewe ni ndogo kieneo na ina wakazi wachache sana. Maana wakati huo kulikuwa na raia kama Milioni moja na laki tatu.
Siasa zao ni za chama kimoja huku ukoo wa Nguema ukiwa ndio umeshika hatamu. Kuna makabila mengi ila kabila la Nguema ambaye ndiyo rais lina karibia asilimia 90 ya raia wote hivyo wana ushawishi mkubwa wa kuamua maamuzi ya nani awe au aendelee kuwa rais.
Rais na makamu wake wa rais ni wanafamilia lakini pia mawaziri wengi ni kutoka katika familia moja.
Hali ya uchumi ni mbaya licha ya nchi hii kuongoza katika kupata mapato kutokana na biashara ya mafuta.
Wananchi wana hali za kawaida tofauti na familia za viongozi.
Ila kuna vibinti vyeusi virembo vya kutosha hapo Malabo.
Hawa raia wa nchi hii ni wapole hatari.
Nchi ikashaongozwa na familia moja tena kikabila ndo basi tena
 
Back
Top Bottom