Nani amefanya kozi ya Bsc Agric investment and banking Sua? Je, kwa mtu wa CBG mwenye EEC anaweza pata?

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,321
5,552
Wakuu, naomba mtu mwenye uzoefu na kozi tajwa ili nione kama naweza kumusaidia mtoto mawazo. Anaonekana kuipenda lakini hana details.
Asante
 
Shida inaanzia kwenye ufaulu EEC ni division three ya 13 changamoto ya kwanza ipo kwenye competition na wenzie waliofaulu zaidi yake, pili TCU requirement je cut point wanahitaji ngapi ili kufaulu kusoma hyo course mfano wakiwa wanahitaji 6 na kuendelea tyr sifa hana maana atakuwa na 4.5 ila yote kwa yote ni kozi nzuri kila la kheri kwake.
 
"Two principal passes (4 points) in the following subjects: Economics, Advanced Mathematics, Geography, Ac- countancy, Physics, Chemistry, Agriculture or Biology. In addition, an applicant must have a minimum of a “D” grade in Basic Mathematics at O-Level. OR Diploma in Agriculture with an average of ‘B’ or a minimum GPA of 3.0. In addition, an applicant must have a minimum of “D” grade in two science subjects at O-Level."

Source: Bachelor of Agriculture Investment and Banking
Unaweza kupata details zaidi kwenye link, i hope itakusaidia kwa kiasi fulani.
 
Back
Top Bottom