rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,491
- 41,904
Lakini naona walimzika Kesho yake sasa sijui hiyo Postmotam imefanyika lini???Mkuu jamaa hajauliwa inasemwa kajinyonga.
Angekuwa ameuliwa angezikwa kiheshima na mpama sirro angekuwepo pale.
Lakini naona walimzika Kesho yake sasa sijui hiyo Postmotam imefanyika lini???Mkuu jamaa hajauliwa inasemwa kajinyonga.
Angekuwa ameuliwa angezikwa kiheshima na mpama sirro angekuwepo pale.
Anaejinyonga anajifunga mikono nyuma?Mkuu jamaa hajauliwa inasemwa kajinyonga.
Angekuwa ameuliwa angezikwa kiheshima na mpama sirro angekuwepo pale.
Ila la kufungwa mikono nyuma lilithibitishwa? Hapo ndio tuanzie. Hivi askari cheo cha juu anakufa na kimyaaaaaa!!!!Tunashukuru kwa kutujuza kuwa marehemu alikuwa Pro uamsho. Hayo ndiyo malipo yake.
Kama umebuni taarifa hii basi haufai ktk jamii ya wastaarabu sbb wewe ni mchonganishi. Na ndio maana taarifa yako imejaa hearsay informations which is inadmissible before the law.
Lakini naona walimzika Kesho yake sasa sijui hiyoPostmotamimefanyika lini???
Inasemwa na nani?Mkuu jamaa hajauliwa inasemwa kajinyonga.
Angekuwa ameuliwa angezikwa kiheshima na mpama sirro angekuwepo pale.
Sasa wasukuma wengeelewaje ningeandika ningereza??= postmortem
Sasa wasukuma wengeelewaje ningeandika ningereza??
Mimi sikuwepo ila sidhani kama alifungwa mikono na familia ikashuhudia hilo. Halafu taarifa iseme kajinyonga lazima wangetoka hadharani kupingana na taarifa hiyo.Ila la kufungwa mikono nyuma lilithibitishwa? Hapo ndio tuanzie. Hivi askari cheo cha juu anakufa na kimyaaaaaa!!!!
Faiza ukisoma hilo unaloita andiko kuna habari iliyothibitishwa hapo hata na familia? Au nawe unaingia ktk mkumbo waa kusikia sikia?Anaejinyonga anajifunga mikono nyuma?
Au hujasoma andiko lote na umekurupuka tu?
Hukumu ya muuaji huwa ni nini? Msipende kujipa haki ya kuchukua nafsi za wenzenu kwa vivuli vya harakati za kipuuzi. Huku nafsi zenu mkizipa exclusive right to life.Awe uamsho au la, ni sheria gani unayoihusisha ambayo itakubaliana na yaliyomtokea marehemu? Kwamba kwa kuwa uamsho anastahili yaliyompata?
Ahsante argument zako zina mashiko sana mie niko bara ndio maana , na wala hatujasikia kauli ya familia kuwa alifungwa kamba!! Sirooo nyakoro!!!!!!!!!! tata COME OUT clean toa taarifa maaana naona upotoshwaji hapa tweke sawa !!Mimi sikuwepo ila sidhani kama alifungwa mikono na familia ikashuhudia hilo. Halafu taarifa iseme kajinyonga lazima wangetoka hadharani kupingana na taarifa hiyo.
Mleta post hapa ni mpuuzi hajui madhara ya taarifa zisizothibitishwa huleta mvurugano kwenye jamii. Ni mpuuzi kabisa.
Mkuu jamaa hajauliwa inasemwa kajinyonga.
Angekuwa ameuliwa angezikwa kiheshima na mpama sirro angekuwepo pale.
Lakini naona walimzika Kesho yake sasa sijui hiyo Postmotam imefanyika lini???
Mimi sikuwepo ila sidhani kama alifungwa mikono na familia ikashuhudia hilo. Halafu taarifa iseme kajinyonga lazima wangetoka hadharani kupingana na taarifa hiyo.
Mleta post hapa ni mpuuzi hajui madhara ya taarifa zisizothibitishwa huleta mvurugano kwenye jamii. Ni mpuuzi kabisa.