Nani aliweka kanuni ya kuishi ya binadamu tajiri/ masikini?

Kikiwo

JF-Expert Member
Nov 30, 2017
1,973
1,057
Wana JF,

Nilisikia namimi nikashangaa! Hivi nani aliyeweka "Principle" ya kuishi kwa mwanadamu? Namanisha awe tajiri au masikini. Kwanini si rahisi kukuta tajiri akienda hotelini aagize sahani 3 just because yeye ni tajiri?

Kikawaida utakuta wote maskini na tajiri hotelini kila moja anaagiza sahani moja ukiagiza zaidi ya moja wote ndani ya hoteli watakushangaa. Najiuliza kwanini munishangae wakati mimi ni tajiri?

Au mfano mwingine kwanini tajiri havai viatu pair 2 kwa pamoja? Kumbe principal ya kuishi ni kwamba kila mtu awe tajiri au maskini lazima avae pair moja ya viatu. But why like this mtu mwenye pesa nyingi?

Au kwanini tajiri yeye asivae suti 2 kwa pamoja ili aonekane yuko tofauti na maskini? Yani eti "Principle" ya kuishi ni kwamba kila mtu avae suti moja na utakuta na maskini nae kavaa kasuti kake kamoja kama vile tunafanana.

Sasa ifike mahala alieleta hii "Principle" ya kuishi sasa aje na "Principle" nyingine ili tuondokane na hii ya sasa.

kaya-dan-miskin.jpg
 
Bahadhi ya vitu katika maisha vinahitaji ubora na sio kiasi (wingi) kudhihirisha utajiri mfano mavazi, viatu, chakula n.k.
 
Kuvaa Viatu pair mbili angali miguu ni miwili au kuvaa suit mbili angali mwili ni mmoja kitu ambacho hakiwezekani
 
Usimdharau masikini kwa kuwa wote tajiri na masikini ni mavumbi tu.
 
Back
Top Bottom