Nani aliwashauri Yanga kufanya Wananchi Media Day?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,701
45,034
Mimi nikiwa kama shabiki nguli wa mpira, naona kabisa klabu ya Yanga inapotea kwenye ramani.

Baada ya kuona wenzao Simba wakifanikiwa kwa kishindo juu ya bonanza lao la Simba Super Cup, viongozi wa Yanga wakaamua watoke mafichoni wakaja na Mwananchi media day! Yaani ilikuwa vituko kabisaa, Yanga wanapenda watrend kama wenzao Simba, ila wanakwama kwenye kufanya kitu ambacho kina mvuto!

Yaani media day unaenda kuonesha watu wakiogelea?? badilikeni ndio maana mnaitwa Utopolo!!
Adjustments.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom