Nani aliwakilisha UDSM kwenye uzinduzi wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) ?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani aliwakilisha UDSM kwenye uzinduzi wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) ??

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by samirnasri, Nov 26, 2010.

 1. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Jana trh 25 Nov 2010 rais JK alizindua chuo kikuu cha dodoma. Kati ya wageni waalikwa kulikua na wakuu wa vyuo mbalimbali vya umma na vya binafsi. Sina hakika nani aliwakilisha mzumbe na sua ila nina uhakika viongozi wa juu watatu wa udsm (mukandara, maboko na mgaya) hawakuwepo. Je udsm waliwakilishwa na nani. Na kitendo cha mabosi watatu wote wa udsm kutohudhuria uzinduzi huo kina ashiria nini?
   
 2. suamakona

  suamakona Member

  #2
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ubinafsi
   
Loading...