Nani aliratibu Chato kuhamishwa kutoka Kagera na Kupelekwa Geita?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,189
103,708
Wakuu wengine sisi tumeanza kufuatilia siasa kipindi cha Zito Kabwe na Dr.Slaa hivyo kupitia great thinkers tunajifunza mengi.Nakumbuka Wilaya na Halmashauri ya Chato ilikuwa Kagera lakini hapa katika kuanzisha mikoa mipya ikahamishiwa Geita.

Nimejifunza mahali pengine kuwa Wilaya kuhamia mkoa mwingine sio jambo dogo,kunakuwa na mikakati mizito ya kisiasa na sababu nzito sana.Naomba wakuu watupe darasa ni nani aliratibu uhamisho wa Chato kwenda Geita na sababu zilikuwa ni zipi.

Hii mada haihusiani na mambo ya wahanga wa tetemeko kupewa majibu yale na Mh.Rais!
 
Swali lako lingekuwa linaeleweka kama ungemaliza ni nani aliyeratibu kuitoa wilaya ya geita kutoka mwanza na pia nani aliratibu kutoa wilaya zilizimo geita kutoka mkoa yake? Mfano bukombe -shinyanga, chato -kagera, geita - mwanza. Otherwise utakuwa mchokozi tu wamakusudi
 
Kwa nini uulize chato pekee wakati bukombe ilihamishwa toka Shinyanga na geita ilihamishwa toka mwanza? Ndio maa wachangiaji wanataka wajue lengo la swali lako nini? #Uchochezi#
 
Wakuu wengine sisi tumeanza kufuatilia siasa kipindi cha Zito Kabwe na Dr.Slaa hivyo kupitia great thinkers tunajifunza mengi.Nakumbuka Wilaya na Halmashauri ya Chato ilikuwa Kagera lakini hapa katika kuanzisha mikoa mipya ikahamishiwa Geita.

Nimejifunza mahali pengine kuwa Wilaya kuhamia mkoa mwingine sio jambo dogo,kunakuwa na mikakati mizito ya kisiasa na sababu nzito sana.Naomba wakuu watupe darasa ni nani aliratibu uhamisho wa Chato kwenda Geita na sababu zilikuwa ni zipi.

Hii mada haihusiani na mambo ya wahanga wa tetemeko kupewa majibu yale na Mh.Rais!
Sumaye atakuwa kwenye nafasi nzuri sana,ni katika kipindi chake mchakato ulianza
Lakini kwa haraka ni kuwa unapoanzisha mkoa maana yake unapeleka huduma karibu na wananchi,na ni lazima unyofoe baadhi ya maeneo ili kuunda mkoa huo
Kwangu mimi nitakwambia zilikua hatua za kawaida tu za kiutawala kuitoa chato kagera,lakini Sumaye ana majibu ya kiyakinifu kuhusu hilo
Akija kwenye kamati kuu,muulize
 
Kwa nini uulize chato pekee wakati bukombe ilihamishwa toka Shinyanga na geita ilihamishwa toka mwanza? Ndio maa wachangiaji wanataka wajue lengo la swali lako nini? #Uchochezi#
Bavicha wamepagawa,sasa ni mwendo wa chimbu chimbu tu labda watapata pa kuanzia
 
Sababu zilikuwa mkoa wa kagera ulikuwa mkubwa sana hivyo ikalizimika kumega sehemu ya mwanza,kagera,shinyanga ili kuunda mkoa wa geita
Ngara,Biharamulo na chato wapi karibu na Bukoba na wilaya ipi ipo karibu na Geita
 
Huyu mwandishi nafikiri anafikiri kwa kuwa chato ilihamishwa kutoka Kagera na physically ilihamishwa ndiyo maana hata tetemeko la ardhi haikulikumba, maana ilihamishwa iko Geita.
 
Back
Top Bottom