rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,329
- 4,638
Huenda ikawa sikumbuki Wakuu. Ila kuna swali linaniumiza kichwa kupita kiasi kila nikiliwaza kuhusu Zanzibar..... pengine lilishawahi kuuilizwa na kujibiwa humuhumu mtanisamehe au wakati zoezi linasitishwa msitishaji alitaja aggrieved party ambayo ndo ime-lunch malalamiko.
NI NANI ALIPINGA ZOEZI LA UTANGAZAZAJI WA MATOKEO YA UCHAGUZI ZANZIBABAR KATI YA VYAMA VILIVYOSHIRIKI UCHAGUZI HUO????????
Kwa huku bara kuna chama ambacho kilipinga na kuandika official letter kupinga kuendelea kutangaza ila Wahusika waliziba masikio na kuendelea na zoezi.
Kama ni Chama kilipinga zanzibar kikasikilizwa mbona bara hakikusikilizwa???????
Na kama ni Mtu mzima Jecha peke yake.... inakuaje apike chakula watu waanze kula na wakipende then awanyang'anye???????? na kusema ni kibaya ilhali walaji wamenogewa......
Very interesting times we are living in.