Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,086
- 4,881
Wadau nadhani mtakuwa bado MNAKUMBUKA kiĺichomtokea Binti Mdogo Mwanachuo wa NIT Aiitwaye AKWILINA Binti huyu aliuawa akiwa ktk Usafiri wa Daladala baada ya Kufyatuliwa RISASI Habari za Awali ilisemekana kuna Polisi Wakiokuwa Doria ndio Walifyatua risasi kwa Mujibu wa Afande Mambosasa lakini baadae ikaonekana Sio Askari na Mpaka leo Muuaji Hajajulikana
Je, ni kweli JESHI la POLISI limeshindwa KUMTAMBUA MUUAJI wa AKWILINA?
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Je, ni kweli JESHI la POLISI limeshindwa KUMTAMBUA MUUAJI wa AKWILINA?
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app