Nani alipiga risasi Akwilina?

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Wadau nadhani mtakuwa bado MNAKUMBUKA kiĺichomtokea Binti Mdogo Mwanachuo wa NIT Aiitwaye AKWILINA Binti huyu aliuawa akiwa ktk Usafiri wa Daladala baada ya Kufyatuliwa RISASI Habari za Awali ilisemekana kuna Polisi Wakiokuwa Doria ndio Walifyatua risasi kwa Mujibu wa Afande Mambosasa lakini baadae ikaonekana Sio Askari na Mpaka leo Muuaji Hajajulikana

Je, ni kweli JESHI la POLISI limeshindwa KUMTAMBUA MUUAJI wa AKWILINA?

20210829_095038.jpg


Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Atakuwa mwovu sana mtu huyo, huyu binti alikuwa hata amemdhulumu nini?
 
Mbowe mtu wa hovyo Sana anahamasisha vurugu kwa uchu wa madaraka na chama chake Cha ukoo wa mtei ambacho hataki kuachia nafas kwa miaka lukuki mwisho mtt wa watu akauwawa mbowe ni gaidi anatakiwa apigwe risasi huko huko gerezani
 
Back
Top Bottom