Nani alipanga bajeti ya ujenzi wa ukuta wa Mererani?

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,564
50,400
Eneo la machimbo ya Mererani limeamriwa kujengewa ukuta na kamera za kisasa kabisa kuwekwa eneo lote. Ni mpqngo mzuri wenye nia nzuri lkn umetekelezwa pasipo kufuata taratibu na sheria tulizojiwekea.

Suala hili lilipaswa kuwa sehemu ya mjadala wa bunge la bajeti lililopitisha makadirio ya mapato na matumizi ya fedha 2017/2018. Sasa mtu anapoamka tu na kuamua ukuta ujengwe kuzunguka eneo lote la Mererani ni upokwaji wa madaraka ya bunge.

Sote kwa umoja wetu tulikatae hili la fedha zetu kupangiwa matumizi nje ya utaratibu tuliojiwekea. Vinginevyo tunandugaiwa.
 
Undugai ni neno jipya ktk sayansi ya siasa. Maana yake ni hali ya mhimili wa bunge kuburuzwa na serikali huku mkuu wake (spika) akiona sawa tu.

Eneo la machimbo ya Mererani limeamriwa kujengewa ukuta na kamera za kisasa kabisa kuwekwa eneo lote. Ni mpqngo mzuri wenye nia nzuri lkn umetekelezwa pasipo kufuata taratibu na sheria tulizojiwekea.

Suala hili lilipaswa kuwa sehemu ya mjadala wa bunge la bajeti lililopitisha makadirio ya mapato na matumizi ya fedha 2017/2018. Sasa mtu anapoamka tu na kuamua ukuta ujengwe kuzunguka eneo lote la Mererani ni upokwaji wa madaraka ya bunge.

Sote kwa umoja wetu tulikatae hili la fedha zetu kupangiwa matumizi nje ya utaratibu tuliojiwekea. Vinginevyo tunandugaiwa.
Sehemu ya mjadala wa bunge gani?
 
Kama unahisi hujatendewa haki,nenda mahakamani au ktk mamlaka husika ukaulize.kwani ukijengwa kwa manufaa ya umma hata kama unaona kunataratibu hazijafuatwa zenye faida ndogo kuliko matokeo,so bora matokeo! Mi niombe sana ndg zangu watanzania tuwe wamoja ktk masuala yenye tija kwa TAIFA
 
Yani unabishana na mkuu wa nchi aiseeh kweli hujipendi rais aheshimiwe na watu wote
 
Kama unahisi hujatendewa haki,nenda mahakamani au ktk mamlaka husika ukaulize.kwani ukijengwa kwa manufaa ya umma hata kama unaona kunataratibu hazijafuatwa zenye faida ndogo kuliko matokeo,so bora matokeo! Mi niombe sana ndg zangu watanzania tuwe wamoja ktk masuala yenye tija kwa TAIFA
Taratibu zifuatwe afanyavyo anatoa mianya ya wezi kwakuwa hakuna badget na kazi ni kubwa kushindanisha tenda hakuna unawafungulia njia wapiga diri
 
Bungee?? Bunge ni katawi ka SERIKARI ,limepoteza mwelekeo hata hawajui wajibu wao. Baada ya ndugai ku surrender mhimili wa Bunge kwa serikali na kupokea maagizo toka juu kuendesha hiyo taasisi, Bunge limekosa hadhi na ukifwatilia kwa makini hata wananchi wamepoteza imani na hicho chombo.
 
Kama unahisi hujatendewa haki,nenda mahakamani au ktk mamlaka husika ukaulize.kwani ukijengwa kwa manufaa ya umma hata kama unaona kunataratibu hazijafuatwa zenye faida ndogo kuliko matokeo,so bora matokeo! Mi niombe sana ndg zangu watanzania tuwe wamoja ktk masuala yenye tija kwa TAIFA
tumwombee mtanzania mwenzetu
mtetezi wa demokrasia na rasilimali za nchi mh LISSU.mengine ni simulizi za abunuwas !!!
 
Kama unahisi hujatendewa haki,nenda mahakamani au ktk mamlaka husika ukaulize.kwani ukijengwa kwa manufaa ya umma hata kama unaona kunataratibu hazijafuatwa zenye faida ndogo kuliko matokeo,so bora matokeo! Mi niombe sana ndg zangu watanzania tuwe wamoja ktk masuala yenye tija kwa TAIFA
Kesho akikurupuka na lingine...haina haja ya kuwa na bunge basi mkuu maana serikali inaweza kujisimamia yenyewe...
 
Back
Top Bottom