Nani Aliongoze Tanzania Kikwete Aking'atuka

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Nani Aliogoze Taifa Kikwete Akiamua Kung'atuka?

1. E. Lowassa,
2. B. Membe,
3. J. Magufuli,
4. J. Mashaka,
5. S. A. Salim,
6. R. Aziz,
7. J. Shibuda,
8. R. Mengi,
9. L. Masha,
10. Dr. H. Shayo,
11. M. Pinda,
12. Dr. US Blogger,
13. A. Kilango,
14. Dr. B. Buriani,
15. M. Dewji,
16. M. Mwandosya,
17. I. Lipumba,
18. Z. Kabwe,
19. H. Mwakyembe,
20. Vijisenti,
21. J. Cheyo,
22. R. Paulsen,
23. C. Mtikila,
24. J. Malecela,
25. Dr. Kimei,
26. Dr. S. Kawambwa,
27. P. Nalitolela,
28. Dr. Slaa.
29. B.W.Mkapa,
30. F. Sumaye,
31. J. Warioba,
32. Mch. Kakobe,
33. J. Shibuda,
34. P. Msekwa,
35. A. Makinda,
36. S. Sitta,
37. Mch. G. Rwakatare,
38. A.H. Mwinyi,
39. Madaraka Nyerere,
40. Kingunge,
41. Seif Khatib,
42. Dr. H. Mwinyi,
43. M. Bomani,
44 .R, Kikwete,
45. J.Makamba,
46. Jerry Muro,
47. M.M.Mwanakijiji
 
umetupa list ya ma alwatani tu, khaa without naming names m shocked with some of those in that short list.
 
Kumbe na Mengi naye anapendekezwa? Best kwa orodha hii wapo wawili Dr Slaa na Pinda. Kama Pinda hatarithi kufunika mambo. Zito sawa lakini ni mkimbiaji wa mbio fupi ndefu atahema. Mwinyi.......mh hii nchi si ya kifalme. Madaraka mwenyewe alishasema he has nothing to with politics especially Taanzanian politics!
 
Lakini on a serious note, Membe fancies the idea sema mi sijaona any extraordinary traits.. Mwinyi too must have the idea in his head... labda ataanza Zanzibar huko, akagombane nakina Bilal.. wengine ni non entities.. So I guess its Mwinyi then ME..LOL
 
Ukiniuliza mie, hakuna mtu atakayeleta mabadiliko ya maana Tz. Vinginevyo ni kuwa kama wale wanaotegemea kuombea maiti ili wafufuke au wale wanaopanda chelewa wakitegemea wafaudu madafu. Its simply not gonna happen people! Wake up!.

We first need a good system for everything. Ukiwa na system safi huhitaji ku-rely kutoka kwa performance ya mtu mmoja. ku-rely on one person is fallacious, ni sawa na kuishi karne nyeusi za watu walokua wakiamini flani ni nabii. This is nonsense.

Kwa hiyo bana hiyo list yenu hio ni MUFLISI and it display jinsi gani tuna-accept absurdities huku tukitegemea good results. Hata wote hao wakiwa marais at the same time AINT NO $HYT IS GONNA CHANGE. Trust me.
 
umemsahau mtu very suitable for tanzania situatio.................. anayefaa ni mmoja tu mama sophia simba.................... hana mpinzani................ anagalia vitu anavyofanya UWT kwa sasa..................
 
Simba secretary hawezi endesha nchi yule, hana elimu, hana vision, infact ata cabinet ijayo amwagwe ili aendelee kunfaya vizuri UWT...lol TUnataka watu critical..
 
umemsahau mtu very suitable for tanzania situatio.................. anayefaa ni mmoja tu mama sophia simba.................... hana mpinzani................ anagalia vitu anavyofanya UWT kwa sasa..................

Please come on,

Naona sasa tunataka kufurahisha watu, Lol huyo mama anafaa awe waziri wa TAARABU NA NYIMBO ZA VIJEMBE TANZANIA note more than that.
 
Nina hakika hii thread inamkera mwanakijiji sana... mwenzenu anataka JK asirudi 2010... ninyi mnaongelea 2015... inamaanisha mnakubali JK aongoze 2010....unamaanisha kwamba Mzee Mwanakijiji ameshindwa kazi? this is too bad.
 
Nina hakika hii thread inamkera mwanakijiji sana... mwenzenu anataka JK asirudi 2010... ninyi mnaongelea 2015... inamaanisha mnakubali JK aongoze 2010....unamaanisha kwamba Mzee Mwanakijiji ameshindwa kazi? this is too bad.

Very hopeless
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom