Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,713
- 45,096
Wakuu wa jukwaa hili, naombeni mnijuze ni nani alihusika katika mauaji ya Waziri Mkuu Olof Palme wa Swwden?
Olof Palme alikuwa kipenzi cha watu na Wanasweden kwa ujumla, lakini ghafla akiwa anatoka Cinema jioni moja, alipigwa risasi na kufariki papo hapo. Je ni nani alikuwa nyuma ya mauaji hayo?
Karibuni...