Nani alimuua Waziri Mkuu wa Sweden, Olof Palme?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,514
44,636
Wakuu wa jukwaa hili, naombeni mnijuze ni nani alihusika katika mauaji ya Waziri Mkuu Olof Palme wa Swwden?

Olof Palme alikuwa kipenzi cha watu na Wanasweden kwa ujumla, lakini ghafla akiwa anatoka Cinema jioni moja, alipigwa risasi na kufariki papo hapo. Je ni nani alikuwa nyuma ya mauaji hayo?

Karibuni...
 
Mimi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom