Nani alimuingiza Nyalandu CCM?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,785
Hivi ni nani huyu aliyefanya hili? Ni nani alimpa ujumbe wa halmashaurin kuu ya CCM na kukinajisi Chama?

Huyu jamaa Ujangili wote anahusika, ...
 
Aliletwa na Mkapa kutoka USA,alikua akifanya kazi kwenye taasisi ya Mama Mkapa na sometimes hata hotuba za first lady huyo aliziandika yeye.
 
hakuna wa kummwingiza nyalandu huko CCM acheni mammbo ya ajabu ajabu nyie watu.......................nyalandu alikwenda mwenyew kuchukua kadi
 
Hivi ni nani huyu aliyefanya hili? Ni nani alimpa ujumbe wa halmashaurin kuu ya CCM na kukinajisi Chama?

Huyu jamaa Ujangili wote anahusika, ...
Hata wewe kwa sababu yoyote ukitoka au kutimuliwa watauliza maswali kama hayo. Ni kawaida kwani waliuliza kwa Kolingba, Jumbe, Kingunge, Lowassa, Sumaye, Nape, etc sembuse Nyalandu??!!. Na hao wote walikuwa wazee wa red carpet!!
 
Hahahaha mle CCM bana mh! Kwan ni akina nani waliompitisha Chenge kuwa Mwenyekiti wa Bunge
 
Hivi ni nani huyu aliyefanya hili? Ni nani alimpa ujumbe wa halmashaurin kuu ya CCM na kukinajisi Chama?

Huyu jamaa Ujangili wote anahusika, ...
Ndio mmeuona leo ujangili wake baada ya kukiacha chama? Hivi mnavaaga miwani gani hiyo inayoonyesha makosa ya mtu baada ya kuwaacha?
Sasa unahoji aliyemwingiza ccm ili ukamshtakie au?
Huenda rais wa mwanza alihusika
 
Back
Top Bottom