Hili bundle lishachachaHivi ni nani huyu aliyefanya hili? Ni nani alimpa ujumbe wa halmashaurin kuu ya CCM na kukinajisi Chama?
Huyu jamaa Ujangili wote anahusika, ...
Hili bundle lishachacha
Hizi ni dalili za kuwashwa washwaHivi ni nani huyu aliyefanya hili? Ni nani alimpa ujumbe wa halmashaurin kuu ya CCM na kukinajisi Chama?
Huyu jamaa Ujangili wote anahusika, ...
Hata wewe kwa sababu yoyote ukitoka au kutimuliwa watauliza maswali kama hayo. Ni kawaida kwani waliuliza kwa Kolingba, Jumbe, Kingunge, Lowassa, Sumaye, Nape, etc sembuse Nyalandu??!!. Na hao wote walikuwa wazee wa red carpet!!Hivi ni nani huyu aliyefanya hili? Ni nani alimpa ujumbe wa halmashaurin kuu ya CCM na kukinajisi Chama?
Huyu jamaa Ujangili wote anahusika, ...
Ndio mmeuona leo ujangili wake baada ya kukiacha chama? Hivi mnavaaga miwani gani hiyo inayoonyesha makosa ya mtu baada ya kuwaacha?Hivi ni nani huyu aliyefanya hili? Ni nani alimpa ujumbe wa halmashaurin kuu ya CCM na kukinajisi Chama?
Huyu jamaa Ujangili wote anahusika, ...