Nani alimshtua Lowassa?

"Kutafuta mgombea safi wa urais ndani ya ccm ni sawa na kutafuta bikra kwenye wodi ya wazazi!"
 
Alipogusia kashfa ya Richmond huko Dodoma na kuahidi kuizungumzia zaidi tarehe 30/5/2015 huko Arusha,Lowassa alishaingia kwenye 'kumi na nane' za Dr. Harrison Mwakyembe, Samwel Sitta na waliokuwa wajumbe wa Kamati Teule ya Bunge. Kimsingi, hata Lucas Seleli angeibuka na kumwanika Lowassa. Lowassa angeumbuka mchana kweupe kwa kuwekwa hadharani hata yale yaliyofichwa Bungeni mwaka 2008.

Huko Arusha Lowassa hakuthubutu kuelezea kuhusu kashfa iliyomng'oa kwenye Uwaziri Mkuu ya Richmond kama alivyoahidi Dodoma. Nini kilimshtua? Nani alimshtua? Lowassa atambue kuwa anaishi kwenye nyumba ya vioo na hivyo asichokoze ugomvi wa mawe.

LOWASSA ASEME AU ASISEME CHOCHOTE KUHUSU RICHMONDULI; SIO ISSUE TENA; DOSSIER YAKE IMESHAANDALIWA; CCM WAKIKOSEA WAKAMTEUA; IMEKULA KWAO; HAKUNA RANGI WATAACHA KUONA!! Full dossier itakuwa published; katika Runinga; magazeti yote mpaka ya udaku; mitandao ya kijamii, blogs; redio; graffiti, flyers, brochures; banners mpaka kwenye vyombo vya habari vya nje; we gonna paint the globe RED!!
 
Angeibuka Shujaa na angekata kiu ya waliokuja kumsikiliza kama angekuwa jasiri kuizungumzia Richmond, ndio maana watu wote waliondoka dissapointed kabisaa kwa kutoa ahadi na kushindwa kuitekeleza. Lowassa asidhani ukimya wake utafanya ateuliwe na CCM.
 
ndio mda aliona unafaa kusema ,kwan aliposema hahusiki si ulielewa alichosema! alikuwa wapi siyo jamb la msing, la maana ni yy kusema alichodhamiria ww uelewe, na uvhambuz wako uanzie hapo!

Amtaje mhusika mkuu wa Richmond, km hatafanya hivyo basi yy ndie mhusika #1 ....hana haja ya kukanusha!

Lowassa fisadi!
 
siri ya mtungi ijuae ni kata/ acheni waliopo wamalize kwa amani nchi isonge mbele/ AIBUUU!!!
 
Cha ajabu wale wote wenye kashfa za rushwa kwenye nchii hii kama Chenge, Tibaijuka, Karamagi, Rostam na wengine wengi ni kambi ya Lowasa??
 
Petro E. Mselewa

Dhamira yake ilimsuta kwani ukweli anaujua. Na hii tu inaonyesha hafai kua rais. Kama alituahidi Dodoma ataweka wazi kila kitu kuhusu Richmond siku anatangaza nia Arusha baada ya siku saba tu akatangaza nia na hakuongelea kuhusu Richmond inamaana alisahau. Je akipewa nchi si atatoa ahadi na kusahau siku ya pili tu au palepale jukwaani
 
Last edited by a moderator:
Dhamira yake ilimsuta kwani ukweli anaujua. Na hii tu inaonyesha hafai kua rais. Kama alituahidi Dodoma ataweka wazi kila kitu kuhusu Richmond siku anatangaza nia Arusha baada ya siku saba tu akatangaza nia na hakuongelea kuhusu Richmond inamaana alisahau. Je akipewa nchi si atatoa ahadi na kusahau siku ya pili tu au palepale jukwaani

Na kwa maana hiyo hata yale aliyotuahidi Arusha siku akatangaza na keshayasahau
 
Yaani id za hovyo hovyo zimeibuka kupambana na moto wa ENL,,hamtaweza my friends. lowasa anakubalika na jamii...
 
Hawezi kusema chochote juu ya RICHMOND , ila bado nasubiri aseme alihusikaje.
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom