Nani alimpa uchungaji Msigwa? Kwa nidhamu mbovu anayoionyesha bungen!

Mbunge ana kinga na haki nyingi awapo mjengoni.Tusijidanganye kuwa haki hupatikana kwa sahani ya silver!Wakati fulani inakuwa mpambano, maana wenye nguvu wapo kukuzuia usiende mbele.Hebu niambie watu wakiwa WAUNGWANA ile kitu Dr Mgimwa aliyosoma masaa zaidi ya mawili kutoka katika akili za Mkulo na mafisadi wenzake ikapita kipuuzi?Msigwa ni mtu mmoja, wabunge wote wenye akili wataipinga ile bajeti.Yeyote anayeunga ile bajeti mkono,hata akionesha Shahada za Harvard,Makerere,UDSM, Oxford,na kwingineko, tambua kuwa anajua kuchora zile curves tu ili kupata maksi na shahada lakini hajui uhalisia wa alichosoma Harvard/Manzese/ Oxford na kwingineko AMA NI MSANII ambaye CCM wameshaua hadi dhamiri yake
 
Aliyempa uchungaji Mheshimiwa Mchungaji Peter Msigwa ni pamoja na Mama na Babako! Nenda kawaulize watakujuza.
 
Aliyempa uchungaji Mheshimiwa Mchungaji Peter Msigwa ni pamoja na Mama na Babako! Nenda kawaulize watakujuza.

Ukiona majibu kama haya toka kwa wanaCDM ujue Message sent and delivered. Nidhamu mbovu ya mbunge wenu inasikitisha sana.
 
Ukiona majibu kama haya toka kwa wanaCDM ujue Message sent and delivered. Nidhamu mbovu ya mbunge wenu inasikitisha sana.

hivi wewe ni mtu wa aina gani toka asubuhi upo jamvini tuu kuongea uchizi wako mpaka saizi,. Huoni aibu jamani kafanye kazi acha kuipaka pafyumu maiti iliyo oza ya ccm, tuachie tuizike,. Unatia aibu kama ni baba wa kutofanya kazi kutegemea posho toka wanaume wenzako,. Unajishusha thamani dada,.
 
Na ni nani aliyewapa ushehk wale mashehk wa uamsho waliochoma makanisa kule zenji?

Kama sikosei tafsiri ya neno Sheikh ni kiongozi, hata biblia (ambazo hazikuchakachuliwa) ziliwataja mashekh kama viongozi wa Wakristo, isipokuwa neno hili limeshamiri zaidi kwa Waislam, miaka kama kumi na kitu iliyopita nilikuwa na jirani yangu ambaye ni mchungaji nilikuwa nikimwita Sheikh na hakunipinga infact ndio aliyenielewesha maana ya neno hili.
 
Aliyempa uchungaji Mheshimiwa Mchungaji Peter Msigwa ni pamoja na Mama na Babako! Nenda kawaulize watakujuza.

MMhhh!! Walewaleeee, wakikosa hoja hurusha matusi, ungekuwa na busara ungenyamaza mkuu, waache wenye busara wachangie...sorry!!
 
Too late, usimpigie kura mwaka 2015

Infact hakuwa na ubavu wa kupata ubunge kule Iringa. Kilichotokea ni kwamba alipata kura za chuki baada ya CCM kumteua Mama Mbega ambaye hakuwa chaguo la wana CCM wa Iringa. Chaguo lao lilikuwa Mwakalebela ambaye alipata nafasi ya kwanza kwenye kura za maoni. Kama akiendelea hivi...sijui....!!!!
 
Hivi jamani unaweza kudai haki yako huku umelala kitandani? Lazima akili za ziada zitumike ili mheshimiane aliyeleta mada aniambie sehemu gani duniani amani au haki ilikuja imekufuata kitandani bila kujitoa uendawazimu? Halafu pale sio kanisani ni bungeni ya kaisari muachie kaisari ya mungu mpe mungu. Mbona hapo ni kama rasha rasha tu za mvua ngoja wananchi watakapoamua 2015 halafu muwanyime haki yao kwa kuyachakachua matokeo ndio utaona nidhamu inavyotumika vizuri kudai haki yao. Kila siku unavyoamka taste za watu zinabadilika tunataka mabadiliko jamaniiiiiiiiiiii bora tuongozwe na jiwe sio ccm tena.
 
Mleta mada nadhani umesimuliwa,tena na mtu ambaye ni kipofu wa fikra,maana kama umemwangalia na kumsikiliza Mchungaji Msigwa hakika usingesema hayo na wala usingeweza kuandika chochote,kwa taarifa Msigwa ni sawa na wabunge 50 wa nyinyiemu,hakuna mbunge wa age ya Msigwa anaeweza kujenga hoja na kuzisimamia,tena hoja za kutetea wanyonge wala sio hoja za kuibia wananchi,hoja za kufilisi nchi kwa ufisadi,hoja za kuwafanya watanzania wajinga,wapunbavu,vipofu wa fikra na tena ni watoto ambao ni under five.
Hakuna dini wala kiongozi wa dini anaeweza kufanya kazi ya uchungaji au ya kishehe yenye element za kukubali dhuluma kwa kondoo wake,au wafuasi wake,hakuna dini inayohubiri dhuluma au kuwapumbaza wananchi ambao ni kondoo wa bwana ambao kina mchungaji Msigwa wanawachunga,hakuna dini inayokubali kusema uongo,hakuna dini inayoshabikia na kufundisha ufisadi,leo iweje mchungaji huyu akubali hayo yote?iweje mchungaji asikemee pepo?maana nyinyiemu ni pepo wa ngono,wa ufisadi,wa uongo,wa dharau,wa ukatili wa ushabiki,ni vipi Mch Msigwa asikemee tena kwa sauti kali,mchungaji mwema ni yule alietayari kuwafia kondoo wake.
Nakutaarifu mleta mada na wenzio wenye akili za aina hii,Mch Msigwa ni moja ya majembe,huyu ni sawa na wabunge 50 wa nyinyiemu.
 
Mwanadamu, sema na wana wa watu wako, uwaambie, Hapo nitakapoleta upanga juu ya nchi, watu wa nchi hiyo wakimtwaa mmoja miongoni mwao, na kumweka awe mlizi wao; ikiwa aonapo upanga unakuja juu ya nchi hiyo, apiga tarumbeta na kuwaonya watu; basi mtu awaye yote aisikiaye sauti ya tarumbeta, wala haonywi, upanga ukija na kumwondoa, damu yake itakuwa juu ya kichwa chake mwenyewe.... Bali mlinzi akiona upanga unakuja, kama hapigi tarumbeta, wala watu wake hawakuonywa, na upanga ukaja ukamwondoa mtu awaya yote miongoni mwao; ameondolewa huyo katika uovu wake, lakini damu yake nitaitaka mkononi mwa mlinzi huyo...nimwambiapo mtu mbaya hakika utakufa, nawe husemi neno la kumwonya mtu huyo, aiache njia yake, mtu mbaya huyo atakufa katika uovu wake, lakini damu yake nitaitaka mkononi mwako.... lakini ukimwonya na asiiache; atakufa huyo katika uovu wake, lakini wewe umejiokoa roho yako.

Ikiwa Msigwa ni mchungaji ama sio Mchungaj; ikiwa amesomea au amepewa uchungaji sio hoja... je anachozungumza kina uzito. Ikiwa ni mchungaji katika maana halisi nijuacho anawaambia watu juu ya hatari kama mlinzi aliyewekwa langoni mwa mji... anawaambiwa watu waovu juu ya uovu wao. Kwake amenawa mikono kazi na wajibu unabaki kwake aliyesikia. Pima je uko ukweli katika hoja zake... ikiwa ndio chukua hatua sahihi... ikiwa sivyo mwache apotee na uovu wake.


Mbunge uliyepo bungeni wajibu wako ni kama mlinzi kwa taifa hili... ikiwa utakaa kimya kwa uovu tutendewao waTanzania... Basi damu yetu na watoto wetu itatakwa mikononi mwako, la wataka jiokoa piga kelele juu ya uovo ulio dhahiri ili upone wewe na wale watakaoisikia sauti yako.
 
Wadau,

Leo bungeni Naibu spika, ametoa malalamiko yake kwa wananchi wa iringa hususani wa jimbo la iringa mjini juu ya NIDHAMU mbovu anayoionyesha mbunge wao msingwa.

Swali langu ni je, ni nani kampa msigwa UCHUNGAJI, mbona matendo yake hayafanani na hiyo title yake?

Mbona mama lwakatare ujawahi kuoji?Then what?kwani wewe matendo yako yanafanana na dini yako?
 
Kama sikosei tafsiri ya neno Sheikh ni kiongozi, hata biblia (ambazo hazikuchakachuliwa) ziliwataja mashekh kama viongozi wa Wakristo, isipokuwa neno hili limeshamiri zaidi kwa Waislam, miaka kama kumi na kitu iliyopita nilikuwa na jirani yangu ambaye ni mchungaji nilikuwa nikimwita Sheikh na hakunipinga infact ndio aliyenielewesha maana ya neno hili.

nani kasema utoke povu kwa kudifine? Au na ww ni shehk farid yule wa uamsho?
 
Back
Top Bottom