Nani alimpa uchungaji Msigwa? Kwa nidhamu mbovu anayoionyesha bungen!

Mkuu heshimu dini za wenzako sio vizuri wakati mwingine nakuona muungwana lakini haya maandiko yako yanasikitisha sana hata ndugu zetu wa Kenya ambao tumeungana pamoja na wageni wanaopita JF nao wakiona post kama hii wataipa jina baya JF...Badilika ndugu.
Mkuu Ritz, nimerespond kutokana na bandiko lako. Hata hivyo ni kweli kwamba tunatakiwa kuziheshimu imani za watu.
 
kati ya Msigwa na waimba mipasho wa CCM Komba, Nchemba nani mwenye nidhamu mbovu hapo????
 
Naweza kuelewa kwa nini wabunge wa CHADEMA wanakuwa wakali maana wingi wa CCM unatumika kuwanyanya sasa na mara nyingi ukimnyanyasa mtu mwisho ata-retaliate. Hata hivyo ningependa kuona Mchungaji Msigwa akipunguza rabsha kidogo, avute pumzi, ni mzuri sana kwenye kujenga hoja. Pia Wenje, atulie kidogo

Hamna kulala, watatulia siku kikieleweka.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Na ndio maana nikauliza, maana anayoyafanya hayalingani na hii title kimsingi ni ya kitoto sana

Mnaulizi kwa nini >>> Mara nyingi wenye AKILI awapendui kwa ni Mchj, Msigua amekosa nini >>>> You are not to judge let God judge him, uko Bungeni kutetea haki ya wanyonge sio wafisadi wapombavu wenye kugonga gonga meza tu kili ikicha
 
fuatilia shule alizosoma pengine alijipa mwenyewe kama christopher mtikila, Kakobe na mama Lwakatele
Wewe kweli Mama Porojo uchungaji unatolewa na Mungu kwa mujibu wa biblia, tatizo mmeaminishwa na makanisa yasiyomjua Yesu kama Katoliki, Lutheri, Anglikana na mengine kwamba uchungaji unatolewa na watu. Na ukome kuwanenea vibaya wapakwa mafuta wa Bwana, yatakupata makubwa. Subiri kidogo mtamjua Kakobe ni nani mbele ya Bwana Yesu
 
Wadau,

Leo bungeni Naibu spika, ametoa malalamiko yake kwa wananchi wa iringa hususani wa jimbo la iringa mjini juu ya NIDHAMU mbovu anayoionyesha mbunge wao msingwa.

Swali langu ni je, ni nani kampa msigwa UCHUNGAJI, mbona matendo yake hayafanani na hiyo title yake?

Nidhamu mbovu kivipi? Funguka tafadhali ili ambao hatukufuatilia kikao cha bunge tuweze kuchangia
 
Wewe kweli Mama Porojo uchungaji unatolewa na Mungu kwa mujibu wa biblia, tatizo mmeaminishwa na makanisa yasiyomjua Yesu kama Katoliki, Lutheri, Anglikana na mengine kwamba uchungaji unatolewa na watu. Na ukome kuwanenea vibaya wapakwa mafuta wa Bwana, yatakupata makubwa. Subiri kidogo mtamjua Kakobe ni nani mbele ya Bwana Yesu

Kama mpakwa mafuta anakosa nidhamu kiasi kile, kuna haja ya kuangalia upakaji wa mafuta upya.

Heshima ni kitu cha bure, hekima haisomewi.

Tujenge taifa lenye kuheshimiana
 
Haya kaongeza lingine...wanaombea wazinzi Na wanaotembea Na wake za watu..... Hii Kali, eti haombei uchumi.
 
Wadau,

Leo bungeni Naibu spika, ametoa malalamiko yake kwa wananchi wa iringa hususani wa jimbo la iringa mjini juu ya NIDHAMU mbovu anayoionyesha mbunge wao msingwa.

Swali langu ni je, ni nani kampa msigwa UCHUNGAJI, mbona matendo yake hayafanani na hiyo title yake?
Ukitaka ugomvi dai chako/haki. Yule ni mwanaharakati/mpambanaji ni lazima mtamuona hivyo,lakini hayupo hivyo anatetea wanachi wake na hayupo kinafiki pale yule ni mchungaji ni lazima asimaie haki.
 
Ukitaka ugomvi dai chako/haki. Yule ni mwanaharakati/mpambanaji ni lazima mtamuona hivyo,lakini hayupo hivyo anatetea wanachi wake na hayupo kinafiki pale yule ni mchungaji ni lazima asimaie haki.

Asante kwa kukiri kwamba wabunge wenu (Chadema) ni wanaharakati.
 
Back
Top Bottom