Genekai
R I P
- Feb 9, 2010
- 12,517
- 4,987
Ni heshima aitoayo Malkia wa uingereza baada yakufanya jambo fulani lenye Tija kwake. Ni kama zawadi ya Nobel au ile ya Mo Ibrahim zitokazo baada ya muda fulani ila kwa jamii yetu hii ya Tz sina hakika na faida ya usir manake sijaona!Mimi nilikuwa najiuliza hivi huu 'Usir' huyu kahama aliupateje wajameni?
Mwengine mtanzania mwenye initial ya Sir ni Juma Nature au Kibra teh teh teh