Kwa watu mnaomfahamu huyu bwana ni mchango gani ametoa kwa maisha ya Watanzania.kwenye blogu ya Michuzi amemwita Sir George.Sr inapewa na Queen wa UK kwa mchango katika jamii biashara/siasa/michezo.Kama sikosei Chief Marealle na Makwaia walikuwa na OBEs tu toka kwa Queen.
Nimecheck na kuona Tanzania tuna mtu mmoja tu aliyepea huu Usir,ni SIR ANDY CHANDE.Ka huyu bwana kujiita Sir ni majidai ambayo mwalimu Nyerere hakuyataka kabisa.I feel sorry kwa MAMA MARIA NYERERE,naona wanambuluza aonekana kwenye picha na mafisadi hawa.
Tunajua mtoto wa Kahama,anafront TANZANIA ROYALTY EXPLORATION,basically hii ni ya Wa Canada.Wacanada wanatuibia gold yetu kila siku .
TANZANIA tumekwisha na hawa watu.