Nani alimpa u-'SIR' George Kahama?, Tanzania wenye cheo hiki wapo wangapi?

Kwa watu mnaomfahamu huyu bwana ni mchango gani ametoa kwa maisha ya Watanzania.kwenye blogu ya Michuzi amemwita Sir George.Sr inapewa na Queen wa UK kwa mchango katika jamii biashara/siasa/michezo.Kama sikosei Chief Marealle na Makwaia walikuwa na OBEs tu toka kwa Queen.

Nimecheck na kuona Tanzania tuna mtu mmoja tu aliyepea huu Usir,ni SIR ANDY CHANDE.Ka huyu bwana kujiita Sir ni majidai ambayo mwalimu Nyerere hakuyataka kabisa.I feel sorry kwa MAMA MARIA NYERERE,naona wanambuluza aonekana kwenye picha na mafisadi hawa.

Tunajua mtoto wa Kahama,anafront TANZANIA ROYALTY EXPLORATION,basically hii ni ya Wa Canada.Wacanada wanatuibia gold yetu kila siku .

TANZANIA tumekwisha na hawa watu.
Alipewa na pope john paul II
 
Neno sir in kubwa sana ktk kanisa katoliki lzma upitie hatua flank ktk kanisa ndipo hupewa cheo hicho .hvyo cheo hicho alipewa na papa na so nyerere
 
Mkuu hii tittle ya Sir alipewa na Malkia wa uingereza kwa kuwa mwafrika wa kwanza kuingia kwenye bunge la mkoloni mwaka 1958 akiwa kama mbunge wa Legico jimbo la Karagwe jimbo la ziwa magharibi na mwaka 1959 aliteuliwa kuwa waziri wa starehe na maendeleo kwenye serikali ya muda kabla ya uhuru wa Tanganyika! Alisoma shule ya Tabora then chuo cha Loughborough Uingereza! He is the only and only real Sir by little in Tanzania if not Africa just like Sir Alex and Bobby Robson and all real ones u know! Sio A.k.a ni real tittle ni mmoja wa unvalued treasures
Ahahaaah...
Ulifanikiwa kudanganya watu wengi sana hapa..!
Ulivyoandika sasa..!
Yaani ni kama una uhakika kabisa na ulichokiandika..!
 
Kwa watu mnaomfahamu huyu bwana ni mchango gani ametoa kwa maisha ya Watanzania.kwenye blogu ya Michuzi amemwita Sir George.Sr inapewa na Queen wa UK kwa mchango katika jamii biashara/siasa/michezo.Kama sikosei Chief Marealle na Makwaia walikuwa na OBEs tu toka kwa Queen.

Nimecheck na kuona Tanzania tuna mtu mmoja tu aliyepea huu Usir,ni SIR ANDY CHANDE.Ka huyu bwana kujiita Sir ni majidai ambayo mwalimu Nyerere hakuyataka kabisa.I feel sorry kwa MAMA MARIA NYERERE,naona wanambuluza aonekana kwenye picha na mafisadi hawa.

Tunajua mtoto wa Kahama,anafront TANZANIA ROYALTY EXPLORATION,basically hii ni ya Wa Canada.Wacanada wanatuibia gold yetu kila siku .

TANZANIA tumekwisha na hawa watu.
Mbona sijakuelewa mkuu ulichoanza na upichomalizia vitu viwili tofauti...
 
Mwalimu alikuwa anamwita "Sir George" kwa utani tu kwa sababu ya mbwembwe zake za kupendelea mambo ya Uingereza uingereza kama alivyo Sir Charles Njonjo. Lakini ametoa mchango katika harakati za uhuru, alikuwa mojawapo wa mawaziri katika baraza la kwanza baada ya Tanganyika kupata uhuru, na amekuwa waziri nadhani katika awamu zote, kwanza, pili na tatu na sasa hivi ni mfanyi biashara maarufu pia akihusika katika mambo ya madini.Mwanae ni mshirika mkubwa wa Sinclair wa Barrick.
Matango pori mkuu
 
Katika uhai wake, Sir George Kahama aliwahi kutunikiwa nishani ya Kimataifa ya Knight Commander of the Order of St. Gregory the Great iliyotolewana Pope John XXIII mwaka 1962. Hii ndiyo nishani iliyoza jina la Sir George Kahama
 
Back
Top Bottom