Nani alimpa u-'SIR' George Kahama?, Tanzania wenye cheo hiki wapo wangapi?

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
966
0
Kwa watu mnaomfahamu huyu bwana ni mchango gani ametoa kwa maisha ya Watanzania.kwenye blogu ya Michuzi amemwita Sir George.Sr inapewa na Queen wa UK kwa mchango katika jamii biashara/siasa/michezo.Kama sikosei Chief Marealle na Makwaia walikuwa na OBEs tu toka kwa Queen.

Nimecheck na kuona Tanzania tuna mtu mmoja tu aliyepea huu Usir,ni SIR ANDY CHANDE.Ka huyu bwana kujiita Sir ni majidai ambayo mwalimu Nyerere hakuyataka kabisa.I feel sorry kwa MAMA MARIA NYERERE,naona wanambuluza aonekana kwenye picha na mafisadi hawa.

Tunajua mtoto wa Kahama,anafront TANZANIA ROYALTY EXPLORATION,basically hii ni ya Wa Canada.Wacanada wanatuibia gold yetu kila siku .


TANZANIA tumekwisha na hawa watu.
 

Jasusi

JF-Expert Member
May 5, 2006
11,522
2,000
Mwalimu alikuwa anamwita "Sir George" kwa utani tu kwa sababu ya mbwembwe zake za kupendelea mambo ya Uingereza uingereza kama alivyo Sir Charles Njonjo. Lakini ametoa mchango katika harakati za uhuru, alikuwa mojawapo wa mawaziri katika baraza la kwanza baada ya Tanganyika kupata uhuru, na amekuwa waziri nadhani katika awamu zote, kwanza, pili na tatu na sasa hivi ni mfanyi biashara maarufu pia akihusika katika mambo ya madini.Mwanae ni mshirika mkubwa wa Sinclair wa Barrick.
 

Schmidt

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
5,363
2,000
Kwa watu mnaomfahamu huyu bwana ni mchango gani ametoa kwa maisha ya Watanzania.kwenye blogu ya Michuzi amemwita Sir George.Sr inapewa na Queen wa UK kwa mchango katika jamii biashara/siasa/michezo.Kama sikosei Chief Marealle na Makwaia walikuwa na OBEs tu toka kwa Queen.

Nimecheck na kuona Tanzania tuna mtu mmoja tu aliyepea huu Usir,ni SIR ANDY CHANDE.Ka huyu bwana kujiita Sir ni majidai ambayo mwalimu Nyerere hakuyataka kabisa.I feel sorry kwa MAMA MARIA NYERERE,naona wanambuluza aonekana kwenye picha na mafisadi hawa.

Tunajua mtoto wa Kahama,anafront TANZANIA ROYALTY EXPLORATION,basically hii ni ya Wa Canada.Wacanada wanatuibia gold yetu kila siku .


TANZANIA tumekwisha na hawa watu.

Usishangae dogo aliwazuga WaKanada kwamba Wilaya nzima ya Kahama na dhahabu yote iliyopo Kahama ni mali ya familia ya Kahama. lol :D
 

sijafulia

Member
Mar 26, 2010
86
0
kwa watu mnaomfahamu huyu bwana ni mchango gani ametoa kwa maisha ya watanzania.kwenye blogu ya michuzi amemwita sir george.sr inapewa na queen wa uk kwa mchango katika jamii biashara/siasa/michezo.kama sikosei chief marealle na makwaia walikuwa na obes tu toka kwa queen.

Nimecheck na kuona tanzania tuna mtu mmoja tu aliyepea huu usir,ni sir andy chande.ka huyu bwana kujiita sir ni majidai ambayo mwalimu nyerere hakuyataka kabisa.i feel sorry kwa mama maria nyerere,naona wanambuluza aonekana kwenye picha na mafisadi hawa.

Tunajua mtoto wa kahama,anafront tanzania royalty exploration,basically hii ni ya wa canada.wacanada wanatuibia gold yetu kila siku .


Tanzania tumekwisha na hawa watu.

huyu mtoto wake tapeli tu anawaleta majambazi akishamdnganya kikwete rais wako anakakimbiza kwenye safari zake kama mmoja wa wafanya biashara hana jipya weeeeeee joseph !!!!ati kitabu kimetyungwa na kuandikwa na joseph weweweeeeee tunaekujua!!!!!

Labda joseph kalikumtima lakini si kahama...wamevidanganya vizee vya watu akiwemo mama maria nyerere nasikitika sana pia kwa niaba yake najua atakuwa amepitiwa tu!!!nyrer akuhudhuria kejeli kama hizi ati miaka 50 ya utumishi bado kitu kama bank/saccos umeshindwa kuanzisha unataka ukaanzishe mbinguni???nasikitika sana kuondoka kabla sija maliza yale niliopanga we 50yrs ....tema mate nyrere asikusikie hata kwa harufu!!!!ina maana miaka yote ulitimiza matakwa yako kwanza sasa hayo katimize ukiwa na wanao ..waachie vijana kama mkapa alikubeba 2000-2005 enough dady...tuwachie vijifisadi vitoto viweke navyo maisha yao sawa
 

sijafulia

Member
Mar 26, 2010
86
0
usishangae dogo aliwazuga wakanada kwamba wilaya nzima ya kahama na dhahabu yote iliyopo kahama ni mali ya familia ya kahama. Lol :d


yawezekana dogo ni mwongo na mzushi sijui kwenye ndoa yake kama anaishi kwa uongo kawakimbiz a wakanda kama ana akili nzuri msimwone kikwete anamkumbatia nae ni wale wale anajua alichopata toka kwa wale wacanada kule kahama....ipo siku watanzania watafunguka wht i blv
 

mtuwatu

Member
Oct 21, 2009
95
0
Hii kali, sijainyaka kisawa sawa - ngoja niwape macho yangu ila jamaa huu ufisadi ina maana mtu anaweza kurithishwa!?
Afu siamini macho ninachokiona tz kikiendelea, hivi hawa viongozi na watoto wao siku zote wanawaza kuimaliza tz,tuuuu!! Eeeh, Mungu tubariki sisi na watoto wetu, Amen.
 

sijafulia

Member
Mar 26, 2010
86
0
Wakanda wote kule kahama nk kuendelea joseph ndio dalali wao na hata baadhi ya mikataba amekuwa kama shahidi wako
we kikwete atamwacha mtu kama huyu!!!!!ataacha kwenda kwenye sherehe zao...kula na kipofu utatoka na utajiri!!!
Kijana ni bright anajua kuongea pamoja na utapeli wake wa mjini...
 

Chimunguru

JF-Expert Member
May 3, 2009
10,654
2,000
Huyu sir george kahama ni kati ya mafisadi wa kwanza nchi hii tena enzi za mwalimu, niliambiwa alitumwa akanunue meli kiwanja, mr kahama akaenda nunua meli iliyobeba askari wa vita vya pili vya dunia huku soviet ndo akaileta bongo, ilifanya kazi muda mchache ile meli ikafa na km sikosei ilizama kule ziwa victoria. mwalimu naye akamhamishia tu wizara nyingine
 

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
16,471
2,000
Post yake ya mwisho kama sikosei ilikuwa Investment centre baada ya kuwa balozi kule Zimbabwe. Huo ulikuwa wakati wa mzee ruhksa ofisi zao zilikuwa opposite posta mpya mara tu baada ya jengo kwisha. Ana link up vizuri na Banyamulenge Salva na JK kwenye shares za Barrick ... .... huo ndio wakati mambo yalipopikwa early 1990's
 

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,640
2,000
JK AZINDUA KITABU CHA SIR GEORGE KAHAMApix.gif

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, akizindua kitabu kinachohusu Historia ya Maisha ya Utumishi Serikalini cha Mwanasiasa mkongwe Sir.George Kahama, wakati wa hafla ya uzinduzi wa kitabu hicho uliofanyika katika viwanja vya Ikulu jijini Dar usiku wa kuamkia leo. Kutoka kushoto wanaoshuhudia ni Rais Mstaafu Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa, Mwanasiasa mkongwe Sir.George Kahama (wapili kushoto), Rais Mstaafu Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi (wanne kushoto) na watano kushoto ni Mwandishi wa kitabu hicho ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Tanzania Royalty, Bwana Joseph kahama.​
 

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,423
2,000
George Kahama si knight (KBE), walikuwa wanamtania wenzake tu kumuita "Sir". Naye akafurahia, likakaa.

Tanzania hatuna Sir( KBE ), tuna Honorary KBE Andy Chande ambaye ingawa amekuwa knighted 2003 lakini si Sir kwa sababu si subject wa British Empire na wala hakuwa subject 2003.

Huyo Kahama sijui hata kama Buckingham Palace amefika officialy.

Afrika alikuwepo Sir Seretse Khama rais wa zamani wa Botswana ambaye alikuwa knighted kabla ya uhuru, wakati Botswana ikiwa a British Colony, wakati huo Setertse Khama akiwa chifu katika familia ya kifalme ya Watswana.

http://andychande.com/A_KNIGHT_IN_AFRICA_by_SIR_JKC.pdf
 

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,133
2,000
yupo
SIR KUTETERE WA MARANGU!!!!WEEE ACHA KUDANGANYA WATU WACHAGA TUNA MA SIR KAMA 10 HVI AWAJITANGAZI KAMA WENU HUYO WA MIGODINI
 

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,133
2,000
kuna sir nyivonduma

huyo sir wenu feki!!!!akuna sir mwenye mtoto aneujumu nchi ma sir wanaheshimu nchi zao na watoto zao.......joseeeeeeeeeeeeeeeeeee

kahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

vs

kampuni za migodini za kanada

vs

j.mrisho kikwete

patamu hiyo combi..ukipata hata s zote unaenda udsm
 

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,133
2,000
huyu sir george kahama ni kati ya mafisadi wa kwanza nchi hii tena enzi za mwalimu, niliambiwa alitumwa akanunue meli kiwanja, mr kahama akaenda nunua meli iliyobeba askari wa vita vya pili vya dunia huku soviet ndo akaileta bongo, ilifanya kazi muda mchache ile meli ikafa na km sikosei ilizama kule ziwa victoria. Mwalimu naye akamhamishia tu wizara nyingine

aukuwahi kulisikia lijinga limoja linamwongelea linadai nyie watanzania enzi za nyerere sir kahama alileta meli mbovu akahamishiwa wizara,,mustafa nyanganyi fisadi mwenzie kahama alileta kivuko bomu akapelekwa ubalozi wa marekani nyinyi rowasa kajiuzuru bado mnamwandama jamani..enzi za nyerere akukuwa na kujiuzuru ovyo...

Duh simba wa yuda ananguruma
 

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
2,004
1,500
Post Imekaa Kichuki Chuki Kweli..Haina Maelezo Yakinifu...Yaani ni kuchukiana tu.
 

miner

Member
Dec 14, 2009
76
0
Post Imekaa Kichuki Chuki Kweli..Haina Maelezo Yakinifu...Yaani ni kuchukiana tu.

Buswelu, mbona tumezoea tuliambiwa wachovu wa kufikiri, wivu wa wa kijinga sasa ww unasema kichuki chuki ulitaka ikae vipi mwenye nacho atazidishiwa
 

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,133
2,000
post imekaa kichuki chuki kweli..haina maelezo yakinifu...yaani ni kuchukiana tu.

yaaani ninavyokuona mkeo anaishi kwa shida sana maana !!!
Unakumbukukaga hata matumizi ya nyumbani kweli???
 

M-Joka

JF-Expert Member
Dec 13, 2007
308
0
JK AZINDUA KITABU CHA SIR GEORGE KAHAMApix.gif

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, akizindua kitabu kinachohusu Historia ya Maisha ya Utumishi Serikalini cha Mwanasiasa mkongwe Sir.George Kahama, wakati wa hafla ya uzinduzi wa kitabu hicho uliofanyika katika viwanja vya Ikulu jijini Dar usiku wa kuamkia leo. Kutoka kushoto wanaoshuhudia ni Rais Mstaafu Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa, Mwanasiasa mkongwe Sir.George Kahama (wapili kushoto), Rais Mstaafu Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi (wanne kushoto) na watano kushoto ni Mwandishi wa kitabu hicho ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Tanzania Royalty, Bwana Joseph kahama.​

What a terrible bunch of people, "the Sirs"!!! Do you know even Elton John form part of this team bearing this prefix? "Sir". What a dishonourable and immoral title it is.

One can be excused if, as a young child growing up with innocent mind thinking may be that the tittle travels with an honour attached to it. But being a grown up person and know those who are knighted from time to time and still thinking the same way is a bit silly.

How can honour be bestowed to a morally abominable person such as a sodomite? what message is being sent here into the masses's subconcious minds? Kwamba wanaume kwa wanaume kuingiliana sio dhambi tena? Kwamba kuna aina mpya za ndoa? whatever he has done or he does but to honour such a person speaks mountains not only about this bunch of people but also about how terrible even those who knight people into this tittle.

May God guide them and some of us ambao bado wana kasumba za kipuuzi bila ya kupambanua mambo.
 

RayB

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
2,749
1,250
Mimi nilikuwa najiuliza hivi huu 'Usir' huyu kahama aliupateje wajameni?

Mwengine mtanzania mwenye initial ya Sir ni Juma Nature au Kibra teh teh teh
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom