Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 37,191
- 85,288
Umeulizwa Msomi Mkubwa au Wa Kwanza? Ukubwa wa nini ? Au Pua!
Hata Kusoma Magazeti ni Usomi pia... Cha Muhimu hiyo elimu aliyonayo imesaidia nini au imegundua nini kilichosaidia Nchi au Ulimwengu kwa Ujumla! Usomi kwa ajili ya faida ya Familia yake huo nao unauita ni Usomi? Mbona Kaishia kuitwa Dr. ???
Mkuu, hojayako imenikumbusha kitu.
Najaribu kutafakari na kuwatazama wasomi walio wekeza nguvuzao kwa kusaidia taifa wameishia kubaki masikini na wenye maisha mgumu. Ilhali wale wasomi walowekeza kwenye familia zao, wanamaisha safi na wanaishi maisha mazuri kabisa.