Miika Mwamba vs. Pfunk Majani: Nani alikuwa na biti kali?

Usimsahau prof ludigo, kuna beats nyingi zina mkono wake lakoni credit anachukua majani na master Jay.
Dah, Prof Ludigo! Alifanyaga ile mpiga debe chorus yupo QChief....., kupiga debeeee kwangu ilikua poaa! Fani ktk maishaa ikaja kuniokoa!
 
Wote ni watayarishaji wazuri ila Majani ni namba ingine! Ukitaka kujua sikiliza oldschool popote pale zitakapopigwa ktk nyimbo 10, sita au 7 zitakua na mkono wa majani au zimepitia Bongo records!
Uzuri bongo records alikuwa kajaza vichwa vingi kuanzia akina soggy doggy, beat za soggy kazigonga mwenyewe, she got gwan mkono wa soggy na mzungu kichaa, bado kuna akina bizzman alikuwa anaaminiwa sana kwa strings, hapo kuna kipindi walikiwepo akina prof ludigo pale,
Tofauti na siku hizi zamani beat zilkuwa haziwekewi signature za producer bali utaskia wanataja studio.
 
Dah, Prof Ludigo! Alifanyaga ile mpiga debe chorus yupo QChief....., kupiga debeeee kwangu ilikua poaa! Fani ktk maishaa ikaja kuniokoa!
Naikumbuka hyo ngoma...
Kwa radhi ya wazazi kijijini nikaoa
Nikaja jishusha hadhi kwa kupena changudoa.

Acha kabisa ilikuwa noma.
 
Uzuri bongo records alikuwa kajaza vichwa vingi kuanzia akina soggy doggy, beat za soggy kazigonga mwenyewe, she got gwan mkono wa soggy na mzungu kichaa, bado kuna akina bizzman alikuwa anaaminiwa sana kwa strings, hapo kuna kipindi walikiwepo akina prof ludigo pale,
Tofauti na siku hizi zamani beat zilkuwa haziwekewi signature za producer bali utaskia wanataja studio.
Mpaka kina Lamar na Fundi Samweli wamepita Bongo record!
 
Mimi naelewa sana ngoma za solo thang.
Kuna ile mzee nguzaa viking alitimba kwa majani na gitaa lake wafanye kazi na kijna.
Solo ft nguza viking - usiwe na hasira ni noma

Nilikupenda mwanzo ukanikataa - solo thang
Yani shida kabisa.
Kuna beat ya hayakuhusu- Rah P
Anakuja - sista P

Tumemsahau marehemu Complex
Nyamaza
 
G records hiyo!! Kakaake Enika!
Kitu cha baridi kama hii, ile video ya adam jum nikawa nasema jamaa mkali maana mara barafu mara target mara sijui papa.
Hata ile video ya snalee na mr blue wajaa copy zao nikawaa naona kama mbele.

Ile video ya noorah nyuma pcha ya gari eti nilikuwa naona level za mbele.
 
Mada husika ni nani kati ya Majani na Mika alikuwa MKALI WA BITI KALI.

Hapa naona mnadesa na NANI ALIKUWA MKALI kati yao.

Tukiongelea kuhusu BITI KALI, HAKUNA KAMA MIKA MWAMBA. Biti za MIKA zilikuwa kali sana, hata kama mashairi yalikuwa ya kawaida. MIKA alikuwa anatengeneza BITI zenye msisimko, BITI nzito.

ILA KAMA TUNAONGELEA PRODUCER BORA, MAJANI NDO PRODUCER MKALI WA MUDA WOTE.

Pia wasanii wengi wakali walifanya kazi na Majani kwa sababu by then Bongo Records ndo ilikuwa music record studio yenye ushawishi mkubwa zaidi. BRAND YA BONGO RECORD ilikuwa kubwa mnono.

ILA KWA ISSUES ZA BITI MIKA ALIKUWA MKALI SANA. BAADA YA MIKA, DUNGA PIA ALIKUWA MKALI WA BITI.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom