Nani alikamua kwenye hii ngoma?

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,031
21,499
Salaam wakuu,
Ni miaka imepita lakini hii ngoma ya 'dhahabu' ni bonge la hit ambalo hadi leo ikipgwa lazima watu waamke. Je, katika wimbo huu unadhani nani ndio alifunika kati ya Joslyn,Blue au Dully mwenyewe? Kwangu binafsi naona Joslyn alipoteza mbaya sana aisee, alitambaa kinyamwezi sana!
 
kwa mistari - JOSELIN

kwa flow kali - MR:BLUE

verse kali - YA MWISHO,YA DULLY(unavutia style,una bonge la smile,....)
 
LYRICS

Dhahabu (Feat. Mr Blue , Joslin)




Intro

Ohh! ai say ai ai
Ohh! mama ei, oi ei ei ei
Say ei ei

Verse 1 - Dully Sykes

Nakupenda maa!
Basi njoo maa!
Nikila saa kabisa! uko kwa kichaa!
Girl just listen,tuishi kama
heaven
Nakuweka kwenye top 10
Nadata na reception
Mi nachoka hoi, pande zote huniboi
Niite baby boy to me, achana na
toy
Dozz pipo doz mapozi
Sasa dozi na hisia za machozi
Na napenda zako nywele ndefu
Zimekwenda shule
Upande wa maumbile
Nadata toka pande pande ile
Sura yenye mvuto mashavu yenye
dimpose (2x)

Chorus 2x

Oh! oh! oh! yaani soo!
Nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo
Mtoto anavutia kila upande ooh!
Mtoto anakomesha mpaka mabishoo

Verse 2 - Joslin

Mara ya kwanza nilikutana naye
kiutani
Nikampa hi! huku akinishika
shavuni
Am a Josline a.k.a mpendwa na
watu
Kwasababu mi naflow style zaidi
ya tatu
Ye kashtuka kanifagilia
Hakuamini kama 'Basi' nimewaimbia
Mshkaji mmoja hivi ndo uliofuatia
Mara akatikisa kichwa kifuani
akaegemia
(Ghafla akaanza kulia)
Huku akinishika kwa hisia
(Wasiwasi ukanijia)
kumuona
demu anaridhia
Anadai anazimika nnavyo flow
Nambusu mpaka mwisho, yaani
naweka fullye
Hisia zangu kwenye muziki zinachoma
Ndo sababu kubwa iliyomfanya
anipende sana
Mtoto mzuri ukimwona utampa
heshima
Mi namuita dhahabu ndani ya
kariakoo
nzima

Repeat Chorus 2x

Verse 3 - Mr Blu

U-Lonely tena bye, mi nafurahi
Niko sehemuza majani, kichwani
niko high
Namuona manzii maskani, yuko
so fly
Mi nawahi, najigeuza Dully namfuata
nampa hi
Nimeshaini kama Mully, kadata
mtoto hakatai
Anang’aa kama Gold
Yeah! yeah! yeah! yoah!
Anaita kama bling thing
Kama dhahabu, amefika kwa King
Queen wa kheri na ajabu
Anakila sababu, asipate tabu
Nimezimika ajabu...sana tu
Yoah! Hapendi pesa, hapendi
show
Yeah anampenda Blu
Washamteta hasemi no!
Ye anawaona fool
Noma na kabaisa ajulikana mpaka
kwetu
Steve unataka kumjua?
Master J kwenzetu

Repeat Chorus

Bridge - Dully


Ohhhh! Unasifiwa style
Una bonge la smile
Nila 'am telling', napenda yako
smile
Popote najinadi (2x)
Hakuna wa zaidi, hata awe P.Diddy
Oh my girl sema chochote niku
gee
Mtoto unakata, hapo mi ndo nadata
Kiuno nakamata, oh! raha nazipata
(2x)
Go! go shorty
Washa mi nidate,no story
Unaponipa mate, ona sasa wameshaanza
hao
Nishikie, na sa ’walete gan’
tena zao

Repeat Chorus

 
Blue alivunja sana hii ngoma, yaani nouma; kama ambavyo alifanya kwenye "Nilikataa" huku pembeni kukiwa na Chilla pamoja na TID!
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom