Nani aliishauri bodi ya uhasibu kubadili mtaala, kutoka masomo 6 hadi 10?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,455
17,187
Habari ya wakati huu wakuu.

Kwa wale wahasibu na wakaguzi wa mahesabu ya serikali mnaweza kua mnajua hili.

Zamani bodi ya wahasibu na wakaguzi ilikua inamtaala wa masomo 6 kwa wale waliokua na shahada ya uhasibu waliokua wanataka kusajiliwa kama wahasibu walioithinishwa kukagua hesabu za umma.

Baadae nikaja kuona bodi imeongeza masomo kutoka 6 hadi 10.

Je nani aliwashauri bodi kubadili mtaala, je nini ambacho kipo kwenye mtaala mpya kinachowafanya wahasibu wa sasa kua wa tofauti na wahasibu wa zamani. Nini dhumuni hasa lililopelekea bodi kubadili mtaala?

Ahsante.
 
Back
Top Bottom