Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa DSM?

trip za mamtoni,masogange na makazi,nyumba na mtaji kwa scorpion,jengo la 2bln kwaajili ya Bakwata etc etc,vyote hivyo anapewa tu na kampuni ile ile ya watu wale wale ambao inasemekana waliwapokea wakina Wema na Wolper kule china,a.k.a balozi wa heshima,Salah,sijui ndio mchezaji mpira wa Misri!!
 
Hahahahahaaaaa. Yaani mmemtafuta Makonda mmemkosa. Sasa mnaanza kuwa na wivu na ofisi yake. Imewauma sana kuona Ofisi yake inakuwa na hadhi nzuri kuliko Ofisi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mtaa wa Ufipa licha ya kupokea mamilioni ya fedha za ruzuku
washampata, tatizo la mako** ukilaza unamsumbua, hakuwa na sababu ya kuji show up likizo yake ya USA. Pia swala la madawa angeshirikisha angalau waziri wa mambo ya ndani lakini yy anataka sifa za kitoto wakati ukuu wa mkoa ni nafasi nyeti sana serikali. Hii inashusha hadhi ya serikali, serikali inatakiwa ijijengee reputation na sio hivi anavofanya makondeko.
 
trip za mamtoni,masogange na makazi,nyumba na mtaji kwa scorpion,jengo la 2bln kwaajili ya Bakwata etc etc,vyote hivyo anapewa tu na kampuni ile ile ya watu wale wale ambao inasemekana waliwapokea wakina Wema na Wolper kule china,a.k.a balozi wa heshima,Salah,sijui ndio mchezaji mpira wa Misri!!
Hapa unampigilia nyoka na nyundo kichwani. Mkuu kuna majina ya moto ukiyataja ulimi utaungua. Kausha kausha.....
 
Picha zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao kuonyesha ufahari wa hali ya juu wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa dar es salaam.

Ofisi hiyo imekuwa tofauti kabisa na ile ya Mkuu wa mkoa aliyepita bwana Sadick, ofisi ya Makonda ina kompyuta kadhaa za apple,mapambo mengi ya kila aina yanayoashiria ufahari na utukufu wa hali ya juu kuliko hata ofisi ya rais.

Nani aligharamia ufahari huu wakati hata ikulu haijabadili muonekano? Kulikuwa na umuhimu wa kuweka ufahari huo katika kipindi hiki cha kubana matumizi?
Nini kilipungua katika ofisi ya aliyekuwa Mkuu wa mkoa mpaka ufahari uongezwe katika jiji ambalo limezungukwa na wananchi wenye hali ngumu na maisha yasiyoridhisha.picha zaidi za ukarabati huu ziko instagram page ya. QUALITY HOMES

View attachment 348618
Hizi ndizo fikra zisizobadilika. Dar ni jiji kubwa kuliko majiji yote Tanzania halafu ofisi ya mkuu wa mkoa ibakie kuwa kama ilivyokuwa mwaka 1984!!.

Makonda kaza uzi, unalolifanya ni jema, hizi kelele za chura haziwezi kumsumbua tembo asinywe maji.
 
Chura huwa anaruka,anaweza kurukia kwenye koromeo
 
Paulo ana mambo mengi ya mashaka mashaka. Kama alivyo uliza Msukuma bungeni kuwa mwaka mmoja wa Paulo kazini nsio unaweza kunfanya afanye yale ya binafsi kiasi afanyacho?
Jibu hakuna maana Paulo anatumia uwezo wake kumrubuni bwana mkubwa ( kamfanya kama mshamba vile) na kwa hiyo haogopi wengine hata kama watahoji.
Ila siku mkulu akigundua mchezo anaochezewa na Paulo atamtafuna kwa hasira
 
Hizi ndizo fikra zisizobadilika. Dar ni jiji kubwa kuliko majiji yote Tanzania halafu ofisi ya mkuu wa mkoa ibakie kuwa kama ilivyokuwa mwaka 1984!!.

Makonda kaza uzi, unalolifanya ni jema, hizi kelele za chura haziwezi kumsumbua tembo asinywe maji.
watu wanataka kujua nani aligharamia?
 
Kwani computer za Apple za desktop zinauzwaje. Moja imezidi sana 1.5 milioni kama zipo 20. Ni milioni 30. Mbona pesa za kawaida sana acheni wivu wa kike. Unafikiri kuwa mkuu wa mkoa ni kazi ya kitoto, kuna pesa ya ofisi na marupu rupu mengi tuu. Wengineo wakipewa wanafanya tofauti. Na hata kama ulijipendekeza na pesa zako za Madawa ukamnunulia imekula kwao anawataja kama kawaida
 
sawa hiyo ni pesa ndogo,swali je anatoa ufukoni kwake au serikali ndio inatoa hizo fedha?na hiyo ni kwa mkuu wa mkoa wa DAR au mikoa yote ya TANZANIA?
 
Ni vizuri muhusika afanunue
Hawezi kuja hapa yupo msukuma hilo hajalijua ameuliza tu gharama za kwenda USA
Wema kasema mbn yule ambaye kila mwezi huwa anakamatwa na kapangiwa Nyumba kule makongo wakiyajua haya tena basi yeye ni muhusika Mkuu wa sembe ya bwakila
 
kuna wanadamu wana aina mbalimbali za akili,

kwahyo ulitaka isifanyiwe ukarabati,

kwani hyo ofisi ulikua unaijua before haijafanyiwa ukarabati,

kwa uhakika zaidi ungeweka picha ya zamani na mwanzo tufanye comparisson
 
Poor thinking, unataka ofisi ibakie na muonekano ule ule wa zamani.
Pesa iliyotumika ni binafsi au ya serikali?

Mkandarasi alikuwa nani?tenda ilitangazwa?kiasi gani kilitumika?je inaruhusiwa kutumia pesa binafsi kukarabati ofisi ya umma?kama ndivyo nani alitoa kibali?
 
Back
Top Bottom