Nani alianzisha shule za kata? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani alianzisha shule za kata?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, Dec 14, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,240
  Likes Received: 14,481
  Trophy Points: 280
  nani anamfahamu?.................
   
 2. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Atakua jei kei bana...
   
 3. j

  jmushi1 JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 16,227
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Ni Lowassa mkuu...

  I stand to be corrected.
   
 4. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,329
  Likes Received: 3,533
  Trophy Points: 280
  Ni Edward Ngoyai Lowasa....

  Ila aliondoka na kumuachia Pinda aziendeleze kwa kuzipatia madawati, maabara na walimu wazuri lakini mtoto wa mkulima amezitelekeza
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,838
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  walioendeleza wameleta uhuni tu na kuishia kujitapa ati acc zao ziana mil 20 upuuuzi mtupu
   
 6. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Lowassa project
   
 7. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 2,996
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  njaa kitu kibaya sana!!!
   
 8. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #8
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  na itawaua sana amin!!!!!!!
   
 9. m

  massai JF-Expert Member

  #9
  Dec 14, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Na laana ya waliopotezewa mda kwenye hayo maghala lazima itawatafuna na familia zao
   
 10. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #10
  Dec 14, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,490
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ni EDWARD LOWASSA under MKAPA
   
 11. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #11
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,505
  Likes Received: 534
  Trophy Points: 280
  Kwa ninavyojua mimi, shule za kata zilianza kujengwa kuanzia 2003, then EL akatilia mkazo zaidi alipoukwaa uPM.
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Dec 14, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,212
  Trophy Points: 280
  E.L ndo muasisi
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 180
  Unataka kumjua tu?
   
 14. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #14
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,148
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  you are damn right!!
  Sio project ya mtu, ila lowasa aliona sehemu ya kutokea coz hakukuwa na mti aliyeipa atention hii project.
   
 15. fige

  fige JF-Expert Member

  #15
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 377
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni ******,hivi kuna kipindi EL aliwahi kuwa Raisi wa Nchi hii ?
   
 16. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #16
  Dec 15, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,082
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Idea ilikua ya serikali ya mkapa lakini serikali ya kikwete ndio ilikuja kuanza kuimpliment,kama hizi barabara nyingi ambazo jakaya na lowassa walikua wanajidai wanazijenga wao,ilikua ni mipango ya mzee mkapa na sumaye!kina lowasa na jakaya wao wanaweza kupata credit ya moja kwa moja kwenye issue ya ujambazi walivyoihandle ambayo mkapa na sumaye iliwashinda kabisa!
   
 17. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #17
  Jun 12, 2016
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 4,929
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  2001 Nlikuwa wilaya ya Mbinga tarafa ya Ruhuhu Kata ya Ngumbo ambapo SHULE YA KATA "NDINGINE" ambapo awali Palikuwa MIDDLE SCHOOL ilianzishwa ujenzi wake.

  Maeneo mengine nayo yakianza program hii ya shule za kata.... nakumbuka miaka ya 2003-4 Kukawa na program za ualimu wa kufundisha shule hizi waliopewa jina maarufu " WALIMU WA VODA FASTA" Sasa aidha TUWE na mahaba na MTU ama kuamua kupotosha kwa malengo Fulani ukweli hauna tabia ya kupuuzwa
   
 18. Lavan Island

  Lavan Island JF-Expert Member

  #18
  Jun 12, 2016
  Joined: Oct 24, 2015
  Messages: 1,479
  Likes Received: 900
  Trophy Points: 280
  Mwenye mvi nyeupee siku zake za mwanzoni kabisa.
   
 19. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #19
  Jun 12, 2016
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 17,170
  Likes Received: 7,348
  Trophy Points: 280
  Lowasa aliishia kwenye hatua gani.
   
 20. s

  songera JF-Expert Member

  #20
  Jun 12, 2016
  Joined: Dec 29, 2014
  Messages: 1,079
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Ulikuwa ni mpango wa serekali
   
Loading...