Nani ali-plan viti na meza kwenye Bunge la JMT?

Umeona mbali sana mkuu, huyo jamaa aliyebuni alijua kabisa kuwa wabunge watasinzia na pia kupiga piga meza kama 'wehu'!

Labda huenda huyo aliyebuni bunge la Bongo ndie huyohuyo aliyebuni Bunge la Kenya na London!
 
Me niljua unampongeza kwa kutengeneza meza nzuri znazolia kama ngoma duu umewaza mbali sana mkuu kumbe unasemea vilaza wanaopiga ngoma baada ya kusikiliza na kuelewa me juzi ndo niliona ujinga wao siku Mnyika anatolewa nje Lusinde alitumia dk 9 kutukana afu anatumia dk 1 kuomba umeme kwenye vijiji zaidi ya 10 kwenye jimbo lake
Ayse nilikuwa sijui
 
Ni wachina Mkuu..
Wakati hawa wakifanya huu ubunifu wenzao wengine walikuwa Selous wakimalizana na Tembo wetu..
Kwaiyo usiwashukuru sana..
Kuna hasara kubwa pia wametuachia kwenye mbuga zetu.
 
Tungeanzia kwanza na yule aliyebuni ule wa kwanza unaoitwa Msekwa Hall saiv. Huu wa pili aliochora Arch Dondo aliiga kiasi kikubwa seating plan ya Msekwa Hall

Ninachojiuliza ni kwamba kwann walibadili ule muonekano wa Karimjee Hall kama Westiminster wakatengeneza ile "dome" ??
...ni mbongo anaitwa Yared Dondo, ndo alidizain lile jengo zima na timu yake....
 
Sidhani kama atakuwa mtanzania

Deal ndogondogo ndio huwa wanapewa wabongo, deal kubwa kubwa ni za wachina.
Ni mtanzania kama sijamsahau ni Mch engineer wa City Harvest Church kanisa hili lipo garage karibu na mabibo External dar
 
wasira-akifuatilia-jpg.35857

Huyu Mzee alikuwa anaona hii nchi kama ya ukoo wao vile yaani anaenda bungeni kulala.

Bora Bulaya alivyomweka benchi.
 
Nadhani mpangilio wa bunge letu ni ule wa bunge la Marekani wakati mpangilio wa bunge la Kenya ni ule wa bunge la Uingereza.
 
Acheni kudanganya umma wachina na wazungu hawajawahi kuwa maadui wetu.....maadui wa taifa hili ni ccm na viongozi wake ndo wanawaruhusu wachina na wazungu kutuibia na wanashirikiana vyema wakitumia bunge kupitisha upumbavu wao....
NI UBASHITE MKUBWA KUFIKIRI KUNA MTU NJE YA NCHI HII ANASABABISHA TUWE MASIKINI
Sawa kabisa Mkuu. Lakini unadhani aliyebuni hivyo viti alijua vingetumika kuvuruga mijadala kama linavyotumika?
 
Back
Top Bottom