Nani alaumiwe?

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
766
Habari wanaJF.
Leo kwenye magazeti asubuhi nimesikia habari ya wanafunzi 7 wa kike form 4 wamepata mimba kwa pamoja ndani ya miezi mitatu, shule ipo wilaya ya Rombo Kilimanjaro inaitwa Maida. Licha ya ufuska wanaofanya, pia wanauza na kuvuta bangi. Je, lawama ni kwa wazazi, walimu au jamii inayowazunguka?
Nani alaumiwe..
 
Uongozi wa shule kwakuwa mzazi anapeleka mtaoto akijua anako mpeleka kuko salama(secure and safe)wanaoongoza shule ndiyo wakulaumiwa kwani hawako makini!!
 
Looooh naifahamu saaaana mkuu nishule moja ya muda kidogo lakin tangia mwaka 2005 imekuwa ovyo saana...hii inatokana na kukuwa kwa bishara za bodaboda ambayo imesemekana ndio inapotosha wanafunz wa kike kwa kupenda lifti na anasa...nafikiri mwalimu mkuu Mr. Kicheche sijui kama yupo...
 
Back
Top Bottom