Nani alaumiwe TANESCO au Mawakala wake??

Dungulee

Member
Oct 23, 2008
17
1
Siku ya jana na leo kumetokea tatizo kubwa sana la ununuzi wa Umeme (LUKU) katika mkoa mzima wa dar es salaam.watu wamejazana kwa mawakala toka jana asubuhi wakisubiri huduma bila mafanikio.Hakuna jibu lolote la maana zaidi ya kuambiwa eti ni NETWORk Problem.Nani wakulaumiwa kati ya hao?Baadhi ya maofice na sehemu mbalimbali na hata majumbani kumekuwa giza kisingizio hakuna umeme.Hivi TZ tunaendelea ama tunarudi Nyuma?Watu wa solar power mpowapi?kwanini msidumishe huduma yetu mkafanya ushindani na watu hawa wa Tanesco ili kuona tatizo la umeme litakwisha??
 
Back
Top Bottom