Nani alaumiwe, Mzee Mangula au Gazeti la Uhuru au wote au kinyume chake tuwapongeze?

Kwenye tafakuri yako kumbuka kuwa gazeti la uhuru ni gazeti la chama cha mapinduzi. Jambo lolote likiandikwa gazeti la uhuru siyo jambo la kupuuza hata kama jambo hilo linaonekana kama upuuzi. Mpaka sasa habari za kipuuzi ambazo hatupaswi kuzipuuza ni:
1. #SSH 2025: (H for Hagombei)
2. Bagamoyo tumeahidi Gati siyo Bandari.
3.
Sijapuuza Mkuu kuna kiini hapo kwenye ilo gazeti
 
Back
Top Bottom