Nani Alaumiwe Kwa Mwanafunzi Yeyote Kufeli

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,805
633
Ndugu zangu wanajambo forum,
Kila kukicha najiulizaga maswali mengi bila kupata majibu,serikali imebadilisha mitaala na mfumo mzima bila kuangalia WALIIMU wenyewe, ni sawa na kubadili na kufnya service ya gari bila kujali dereva atakuwaje i.e kubadili muundo kama aina za viti au chochote bila kujua hata baadhi ya madereva wanaulemavu ambao unahitaji special attention. Kwa hiyo basi ili elimu iendelee lazima tuwe na walimu wazuri kitu ambacho kwa kiasi fulani tunacho ila kwa Tanzania tunawalimu wavumilivu sana. Lakini hoja yangu kubwa kwa nini Tanzania wenye division 3-4 ndo wanaoenda ualimu na Upolisi? au hata Jeshi? wakati kwa mtazamo wangu mimi naona hao ndo wanaotakiwa wawe vichwa sana?
In the university level, e.g UDSM aliepata first class au upper 2nd anabakizwa kama msaidizi wa mwalimu na hatimae kuwa mwalimu baada ya masters yake na hatimae PHD. Haya yananichanganya nitafurahi kama mtaninyambulia labda perception yangu ina tatizo vile hapa JF kuna watu wenye upeo mpana na amini kbs nimefika nyumbani
Aksanteni
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom