Elections 2010 Nani akipewa Uwaziri, Utashangaa, utasikitika au utafurahia?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,463
39,929
Kuna watu/mtu ambaye ukisikia kapewa Uwaziri au hata Unaibu utashangaa, utasikitika au utafurahia, ni yupi huyo?
 
Lowasa, Chenge, Rostam, Sofia, Ghasia, Kawambwa, Burian, Mkulo, Ngeleja, Mahanga..nitashangaa na kusikitika sana
 
ila Magufuli, Mwakyembe........ wakikosa nitasikitika sana
 
Nitasikitika sana Kawambwa akiwa waziri hasa wizara ya miundombinu kwani kipindi kilichopita ndio kalidanganya bunge kuwa kuna muwekezaji wanazungumza nae na mazungumzo yalikuwa yanafikia tamati juu ya kuifufua ATCL!!! Hakuna chochote alichofanya mpaka shirika sasa liko hoi bin taaban!! Akipata uwaziri itakuwa kwa vile anatoka Bagamoyo na si kwa utendaji!!
 
Pinda====>>>Will confirm CCM to be out in 2015 general election as he won't meet public expectation which is result and not cleaness; i.e. cleaness is by the way!
Samuel Sitta===>>>The perfect PM to restor CCM loyalt for 2015 Election.

Thats all I have in my plate.
 
Nitafurahi sana kama Edward Lowasa akiwa waziri mkuu. Huyu jamaa ni mchapa kazi hataki longolongo wala uzembe. Nitasikitika kama Chenge akipata uwaziri ama unaibu uwaziri.
 
Among all "EDWARD NGOYAI LOWASSA"; if this name have any position in the JK's Gvt will only be like "Mchuzi mtani ukawa na kokwa la limau" kwa serikali ya JK and will always be polarising figure and perpetuates the "RICHMOND SAGA AND UFISADI" talks among Tanzanians till 2015. Actually I will be sad for Tanzania's stagnation in the next 5 years but will be very happy that 2010 election environment will be prolonged and amplified to 2015.

May almighty make that happen - Amen
 
Tibaijuka, Magufuli, Mwakyembe ni muhimu wawepo, nitafurahi wakiwemo barazani
 
Natamani kama baraza la mawaziri litakuwa hivi Magufuli PM. Sitta utawala bora, Ane Kilango mambo ya ndani, Mwakyembe mali asili na utalii, Ole telele ulinzi, Ole sendeka miundombinu, Mwandosya nishati na madini, Lucas Selelii Kilimo na chakula
 
Kuongea na kutenda ni vitu tofauti, utakuwa umepotoka kidogo pole.
 
wanawake na watoto ungempendekeza nani?....mambo ya nje je?
 
sumari, aliyekuwa naibu waziri wa fedha, akipata uwaziri au naibu uwaziri nitashangaa sana tena sana 2
 
Huyo anayesema Tibaijuka anamjua vizuri? Unajua kwanini katoka UN habitat? msikurupuke kushabikia tu unajua haya mambo lazima kufanyia uchunguzi kwanza. Tusije tukaweka vinyonga baabdaye wakatugeuzia rangi
 
Amos makala mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa, Magreth Sitta (viti maalum) wanawake na watoto
 
Kuongea na kutenda ni vitu tofauti, utakuwa umepotoka kidogo pole.

Asante Kasheshe ila nadhani unaelewa kuwa sehemu kubwa ya hawa waheshimiwa wanafanya kazi kwa vidole yaani kuagiza na kuletewa report na kwa misimamo yao kwa utendaji wetu wa kirasimu ambao wanapenda kupigiwa kelele na kufuatiliwa nyuma watakuwa bora kuliko baadhi ya hizo picha tunazoambiwa ni mawaziri
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom