Nani akamatwe, gadafi au waasi pamoja na nato

Mutukwao

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
212
25
Nashindwa kuelewa vurugu ya libya inamhusu nani zaidi kwani inaonekana gadafi ndio mwanzilishi wa vurugu but 2me i see in diferent ways
 
sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,522
860
Kaka mafuta wakubwa wanayataka. Mbona hawaendi somalia.?
Kwa gharama zozote watatunga hata uongo ili wahalalishe nia yao. Umesahau ya sadam hussein...? Ila juzi nimesikia tena wamekaa huko france kwani wamegundua walichokifanya huenda kisiwasaidie , ktk wale waliowasaidia kumtungua ghadaf miongoni mwao ni ***** kubwa la al kaida ambalo hata ghadaf mwenyewe alikuwa akipambano nalo, nadhani sasa wanapiga mahesabu upya, pia hao waasi , waishastukia zile mbinu zao za kuingiza eti majeshi ya kusaidia utulivu wa amani, wamesema hawaitaji jeshi lolote toka mataifa ya magharibi, hilo nalo limewastua tusubiri tutasikia ila nadhani kutatokea vurugu kwani miongoni mwa waasi kuna wanaowatumikia wazungu na kuna wasiotaka uwepo wa wazungu, na pia kuna watumishi wa serikali ya ghadafi pia wote wana mtazamo tofauti.
 
Mpevu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,806
172

Ktk kipindi kifupi sana kijacho dunia itaanza kushuhudia mashambulio mapya kabisa. Somalia & Libya ndio zitakuwa base zao kimafunzo, ni kweli kwa waliompindua Ghaddafi wamo al-qaeda na tena wapo ktk top leadership ya hiyo council.
Tusubiri na kushuhudia iwavyo.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom