egentle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 810
- 374
Baba na mama walitengana, binti akiwa na miaka 10.
Mama aliolewa na Baba wa binti alio mke mwingine.
Binti akawa anaishi kwa mama yake na kulelewa na baba wa kufikia. Baba yake mzazi alikuwa kama kawaida akimuhudumia na kutembelewa na binti kipindi cha likizo.
Sasa binti amekuwa na anafunga ndoa, utata ni kuwa high table akae nani na nani?