Nani akae meza kuu?

egentle

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
810
374
Baba na mama walitengana, binti akiwa na miaka 10.

Mama aliolewa na Baba wa binti alio mke mwingine.

Binti akawa anaishi kwa mama yake na kulelewa na baba wa kufikia. Baba yake mzazi alikuwa kama kawaida akimuhudumia na kutembelewa na binti kipindi cha likizo.

Sasa binti amekuwa na anafunga ndoa, utata ni kuwa high table akae nani na nani?
 
Wakae baba mzazi na baba wa kambo ili kuepusha mgogoro....
 
Baba na Mama waliomzaa mbona haina shida na wanasindikizwa na wapenzi wao.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wakae wazazi was binti.. Maana hao wengine no walezi/kufikia as long wazazi was binti wapo hai wakae pamoja...
 
Hapo ni singida nini ha ha ha hii habari imekaa kisingida singida...:behindsofa::behindsofa:
 
baba c yupo hai na anatambulika basi apewe haki yake lakini binti itabidi atoe shukrani kwa baba wa kambo kwa malezi mema
 
Wakae wote wanne, utajisikiaje umlee mtoto halafu siku ya kuolewa utengwe mezani??
 
Hii nimewahi kuishujudia miaka kadhaa iliyopita. Mdada alilelewa na mama wa kambo, ilipofika siku ya sendoff wazazi walikaa pamoja yaan baba katikati, kisha mama wa kambo kulia na mama mzazi kushoto....

Na katika kuwatambulisha aliwatambulisha kwa pamoja. Hakubagua kuwa huyu ni mama mzazi na huyu ni mlezi la hasha!!
 
Mmm! Kwa nini hisia zako umezielekeza Singida.. (am curious please)
^^

ha ha ha nawe wa huko nini? nshawahi kukaa huko katika story na watu ni watu wengi sana wapo hivo baba na mama wameachana baba kaoa mama kaolewa walokuwa wakinambia ni vijana tu wa secondary wamalelewa na bibi zao
 
Ili kuepusha vinyongo na wivu....wanaume huwa Hamna vinyongo kiviile so hawa wamama watakuwa wamewakilishwa na wenzi wao....

Haha, italeta shida hiii kila mmoja ata taka ku prove himself mbele za watu, hapa unankumbusha movie koja ya Jump the groom ya whiteforest
 
Back
Top Bottom