Nani ajitolee kufundisha Java humu hata Basics tu

truthone

Senior Member
Sep 12, 2019
101
500
Wakuu humu najua kuna wengi wanahitaji kujua java programming kama mimi sijuisana kiingereza hivyo hata mtu akajitolea kutufundisha basics za java kwa kiswahili tu au full tutorial sio mbaya 2saidiane

Nawasailisha.
 
Stefano Mtangoo

Verified Member
Oct 25, 2012
4,130
2,000
Hivi kabisa unatarajia mtu atumie muda wake kukufundisha bure? Inabidi huu utamaduni wa "Ujamaa" tuachane nao. Hayo mafunzo ukiyapata utayatumia kibiashara na hutakuja kumlipa hata utengeneze milioni mia moja.

Fanyeni mjikusanye muweke dau la kufidia muda wa mfundishaji. Mtaona watu watajitokeza.
 
Rog chimera

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
304
500
Wakuu humu najua kuna wengi wanahitaji kujua java programming kama mimi sijuisana kiingereza hivyo hata mtu akajitolea kutufundisha basics za java kwa kiswahili tu au full tutorial sio mbaya 2saidiane

Nawasailisha.
Nenda chuo mkuu acha kuhangaika,kusoma java tu hakutakusaidia chochote , miaka mitatu ya cs au minne ya SE na CE sio mingi !
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom