Nani ajaye? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani ajaye?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mnyalu wa Kweli, Nov 1, 2010.

 1. M

  Mnyalu wa Kweli JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 233
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Nimekuwa nikijiuliza swali moja ambalo imekuwa ngumu kupata jibu. Hivi wakuu mmekuwa mkijiuliza ni nani atawakilisha CCM kwenye urais 2015? Kwa harakaharaka sijamuona maana naona kama wote ninaowafikiria wananchi hawatawakubali- Can u think of Salim Ahmed Salim, Sumaye,Membe, Dr Asha Rose Migiro or Magufuli? Or any from Zanzibar?Salim angekuwa hakuchafuliwa 2005 huenda angetoa ushindani. Hata hivyo nadhani 2015 ni Chadema tu.  Hakuna Marefu Yasiyokuwa na Ncha
   
 2. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mh hata mimi swali hilo nimejiuliza sana, but miongoni mwa hao ulotaja hamna kitu, magufuli anafaa ubunge/uwaziri tu kwenye urais sina hakika sana lakini bora yeye kuliko hao wengine.
   
Loading...