Mnyalu wa Kweli
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 233
- 55
Nimekuwa nikijiuliza swali moja ambalo imekuwa ngumu kupata jibu. Hivi wakuu mmekuwa mkijiuliza ni nani atawakilisha CCM kwenye urais 2015? Kwa harakaharaka sijamuona maana naona kama wote ninaowafikiria wananchi hawatawakubali- Can u think of Salim Ahmed Salim, Sumaye,Membe, Dr Asha Rose Migiro or Magufuli? Or any from Zanzibar?Salim angekuwa hakuchafuliwa 2005 huenda angetoa ushindani. Hata hivyo nadhani 2015 ni Chadema tu.
Hakuna Marefu Yasiyokuwa na Ncha
Hakuna Marefu Yasiyokuwa na Ncha