Hatuja"laaniwa" na mtu, wala mungu. Tumejilaani wenyewe na tunaendelea kujilaani.
Werevu umetushinda, tunajaribu ujinga. Nao tukiona hautufai, tutatafuta werevu tena hapo mambo yataanza kunyooka tena.
Kama taifa bado hatupendani, wala hatuoneani huruma. tuna mawazo ya kudhulumu na kukomoana.
Siku tutakapong'amua kuwa kila mtu anapata haki yake katika taifa letu na kila mtu anatendewa usawa basi laana tunayojipiga itatundokea.
Leo kila kundi linataka kundi jengine liondoke ili wapate "kutesa" kwa zamu.
Kiufupi hatujitambui, tupo tupo.
Jee unafahamu kilimo cha mpunga?
Jamii yetu pia inabidi kupitia hatua hizo... Mpunga unatoka katika tope!