Nani afungue mashtaka BoT

Katibu Tarafa

JF-Expert Member
Feb 16, 2007
989
51
Kutokana na ripoti hii ya BOT ni nani hasa mwenye uwezo wa kufungua mashitaka dhidi ya wahusika.Imedhihirika wazi kuna wizi umefanyika ktk bank kuu.
1,je ni bank kuu yenyewe ndio yenye jukumu la kuwafunguliwa mashitaka wahusika
2,ni mwanasheria mkuu
3,au ni sisi wananchi tulioibiwa fedha zetu.

Bila kujua hasa ni nani mwenye hilijukumu tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu.
Je rais wetu ana husika vipi hasa na hili suala la wizi wa bank kuu kisheria(rejea kesi ya ditto alijidhulu baada ya kufikishwa mahakamani)
Tuliangalie kisheria ni nani mwenye dhamana ya kufungua mashitaka dhidi ya wahusika.
 
Tunaweza kubadilisha heading kidogo iandane na somo.. ili siku ikipatikana hiyo ripoti tuweke heading inayoendana na kilichomo..?

Maana nilivyorukia humu... nadhani hawa wamarekani wamenishangaa utadhani niliacha picha chafu kama screen saver..
 
You're right kwani heading inachanganya kwani first impression kwangu ni report imepatikana na imewekwa uwanjani.
 
seriously The Heading Has To Change First Maana I Was Preparing A4 Papers Kwa Printer Ili Ni Print, Kumbe Its Not A Report Bali Ni Swali. Imekuwa Kama Magazeti Ya Dar Leo Na Alasiri Ambayo Heading Zao Husisimua Ila Hamna Lolote Ukifungua. ( Mfano "rais Amfunga Mfanyibiashara Mashuhuri" Kumbe Ni Rais Wa Haiti)
 
katibu Tarafa Pleeease!!...........hiyo heading can you explain it a bit.....ian uhusiano gani na uliyoyaandika!!!
 
Kutokana na ripoti hii ya BOT ni nani hasa mwenye uwezo wa kufungua mashitaka dhidi ya wahusika.Imedhihirika wazi kuna wizi umefanyika ktk bank kuu.
1,je ni bank kuu yenyewe ndio yenye jukumu la kuwafunguliwa mashitaka wahusika
2,ni mwanasheria mkuu
3,au ni sisi wananchi tulioibiwa fedha zetu.

Bila kujua hasa ni nani mwenye hilijukumu tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu.
Je rais wetu ana husika vipi hasa na hili suala la wizi wa bank kuu kisheria(rejea kesi ya ditto alijidhulu baada ya kufikishwa mahakamani)
Tuliangalie kisheria ni nani mwenye dhamana ya kufungua mashitaka dhidi ya wahusika.

Mkuu pole pole, nimeacha kahawa mezani ili kuja kuisoma ripoti nakuja nakutana na maswali! Duh.
Hasara type!
 
Nilidhani kuwa mtu keshashusha hapa ripoti hiyo, kumbe dah!! Heading hii inadanganya sana.
 
Back
Top Bottom