Katibu Tarafa
JF-Expert Member
- Feb 16, 2007
- 989
- 51
Kutokana na ripoti hii ya BOT ni nani hasa mwenye uwezo wa kufungua mashitaka dhidi ya wahusika.Imedhihirika wazi kuna wizi umefanyika ktk bank kuu.
1,je ni bank kuu yenyewe ndio yenye jukumu la kuwafunguliwa mashitaka wahusika
2,ni mwanasheria mkuu
3,au ni sisi wananchi tulioibiwa fedha zetu.
Bila kujua hasa ni nani mwenye hilijukumu tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu.
Je rais wetu ana husika vipi hasa na hili suala la wizi wa bank kuu kisheria(rejea kesi ya ditto alijidhulu baada ya kufikishwa mahakamani)
Tuliangalie kisheria ni nani mwenye dhamana ya kufungua mashitaka dhidi ya wahusika.