Nandy na Will Paul waanza Injili huko Kenya

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,107
18,323
Wakenya wameapa kama watakutana na Willy Paul Mbinguni wataomba wahamishiwe motoni .

Willy Paul amekua mwimbaji wa Injili huko kenya.

Haya ndio matatizo ya kuimba Injili hata kanisa hujui lipo wapi.. nywele huchani na kujifanya mtoto wa mujini.

Nandy ni mtoto wetu mzuri huku bukoba ila hizi picha na mwimbaji wa Injili wakenya wanasema sio halisi ni za kutengeneza.
20190604_054013.jpeg
20190604_054037.jpeg
 
Wakenya wameapa kama watakutana na Willy Paul Mbinguni wataomba wahamishiwe motoni .
....

Nandy ni mtoto wetu mzuri huku bukoba ila hizi picha na mwimbaji wa Injili wakenya wanasema sio halisi ni za kutengeneza.

Ulijifunza wapi uandishi?
 
Wakenya wameapa kama watakutana na Willy Paul Mbinguni wataomba wahamishiwe motoni .

Willy Paul amekua mwimbaji wa Injili huko kenya.

Haya ndio matatizo ya kuimba Injili hata kanisa hujui lipo wapi.. nywele huchani na kujifanya mtoto wa mujini.

Nandy ni mtoto wetu mzuri huku bukoba ila hizi picha na mwimbaji wa Injili wakenya wanasema sio halisi ni za kutengeneza.View attachment 1117083View attachment 1117084
Asante mtoa mada hii picha ya kwanza nimeiyelewa sana. Ubarikiwe, Mungu akuzidishie ulipotoa.
 
Back
Top Bottom