Nandy ft Harmonize

Mawawa

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,565
5,030


The African princess ni moja ya wasanii wa kike wanaofanya vizuri kwa sasa ndani na nje ya nchi, enjoy muziki mzuri.
 
Huyu nandy nae anakomaa sana. Mm napenda mtu mpambanaji na mtafutaji. Sio msanii kutwa kulalamika Clouds imeninyonya sana. Harmonize mdogo wangu toa nyimbo kweli kweli hadi kieleweke. Usiruhusu mwezi uishe bila kuachia ngoma kali. Kupambana ufikie level za mondi sio lelemama, kimbizana nae huyo jamaa ipo siku watakubali mashabiki.
 
Muziki hauvutii, umepoa na hakuna ubunifu na halafu kuna matusi ndani yake. Hovyooo!!!!
 


The African princess ni moja ya wasanii wa kike wanaofanya vizuri kwa sasa ndani na nje ya nchi, enjoy muziki mzuri.

Ngoma nzuri ila harmonize apunguze uandishi wa matusi anaimba matusi sana yani kuusikiliza na watu unaoheshimiana nao aibu
 
Huyu mmakonde wa chitoholi aache ushamba wa kukaa kifua wazi kila Nyimbo, hata kama ni masharti ya Mganga this is too much.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom