Nandy anazidi kupotea

Sawa..ile ngoma ni kali sana inastahili ila fuatilia kwa sasa baadhi ya ngoma imekua ngumu japo ni kali
Binafsi naona nyingi za kawaida tu zilizotoka, Rayvanny ukiacha ile na zuchu zilizofuata ni kawaida, Harmonize hana wimbo wa kushtua aliotoa, ali kiba ukitoa so hot na dodo zilizofuata ni kawaida. mama amina ya Marioo naona ilistahili zaidi ya ilichopata youtube ila ndio hivyo.
 
She madE a wrong timing...

Next time awe makini.

Alafu nasikia kabwagana na BilNas!
 
Yalianzia hapa: Lady Jay Dee lazima ukubali, huu ni wakati wa Zuchu

Baada ya kum-pressurize Jide, ni kama aliwapa Support mpaka Kwenye brand show yao ya "I am Zuchu" Jide alikuwepo akawapa support, so wamempumzisha.

Ila Yeye Jide ameandaa show hata support hayakumpa. Hii mijitu ni zaidi ya CHATU.

View attachment 1715752

Yaani yanatamani kila msanii amwabudu Domokaya.

Kama huijui, unaweza kudhani ni mijitu yenye nia njema. Huyo Nandy inapambana naye kwa kuwa anafanya vizuri.

Siku akibuma kama kina Linah, Mwasiti, Ray C huwezi kuiona tena hii vita.

Kabla ya hapo, yalimtumia sana Gig Money kumtukana Nandy

Unaposema gigy money ametumika na WCB kumchafua nandy sijakupata vizuri kwasababu beef la gigy money limeanza muda mrefu Sana na tokea mwanzo gigy money amekuwa akimkubali Sana Ruby na akimponda nandy
 
WATU HAMKUJUA WAKATI NANDY ANAACHIA AUDIO YAKE NA KOFFI NA WCB NAO WAKAACHIA SCANDAL YA RAY NA PAULO WATU WAKKACHA KUONGELEA NANDY NA KOFII IKAWA RAY NA PAULO HATA HII VIDEO HAIWEZI KUSAIDIA KITU KWASABABU AUDIO HAIKUFA CHOCHOTE
Siyo kila mtu anafuatilia maupuuzi ya hao akina Ray na Paula, ni nyie washamba shamba tuu...
 
Mkuu Rayvanny fundi yule jamaa mziki wake hauchuji hasa akiachana na zile type za akina tetema inakua hiti ngoma ninazosikiliza sana kutoka kwake na sizichoki
Vumilia
Ex boyfriend
Team
Unaibiwa
Naogopa
I love you
Number one
Mwanza
Kiuno
Pochi nene
Binafsi naona nyingi za kawaida tu zilizotoka, Rayvanny ukiacha ile na zuchu zilizofuata ni kawaida, Harmonize hana wimbo wa kushtua aliotoa, ali kiba ukitoa so hot na dodo zilizofuata ni kawaida. mama amina ya Marioo naona ilistahili zaidi ya ilichopata youtube ila ndio hivyo.
 
Mkuu Rayvanny fundi yule jamaa mziki wake hauchuji hasa akiachana na zile type za akina tetema inakua hiti ngoma ninazosikiliza sana kutoka kwake na sizichoki
Vumilia
Ex boyfriend
Team
Unaibiwa
Naogopa
I love you
Number one
Mwanza
Kiuno
Pochi nene
Inaitwa "Teamo" sio team Kama ulivyosema
 
View attachment 1714923

Hali ya Nandy kwenye muziki sio nzuri kwa kweli anahitaji sana support yetu. Haya mambo ya kushika keyboard na kumpa sifa za uongo hatumsaidii tumwambie ukweli graph yake inazidi kwenda chini siku baada ya siku.

Huyu sio yule nandy wa ninogeshe au kivuruge.

Nandy amefikia kufanya wimbo na Koffi na hasipate walau watazamaji million 1 ndani ya siku tatu sasa na amekaa namba moja trend kwa masaa hayazidi 8 akatolewa na habari.

Imagine uwekezaji wa million 70 unaishia kupata likes na comments za insta na JF inasikitisha sana. Huko kwenye platforms za downloads na streams ndio huruma kabisa.

Kwa mwendo huu mtawalaumu bure WCB kuwa ndio chanzo cha kushuka kwake.

Mtamlaumu Zuchu kwa kubeba attention za watoto wa kike ambazo awali zilikuwa kwa Nandy.

Wale mnaokujaga na magazeti ya kufarijiana msaidieni hata mawazo.

Siku si nyingi nitashusha uzi kama huu kwa yule kijeba anaejaribu kujinasua wakati mtumbwi ushazama.
#TeamZuchuKazini,
Wapinzani watetereke
 
Mkuu Rayvanny fundi yule jamaa mziki wake hauchuji hasa akiachana na zile type za akina tetema inakua hiti ngoma ninazosikiliza sana kutoka kwake na sizichoki
Vumilia
Ex boyfriend
Team
Unaibiwa
Naogopa
I love you
Number one
Mwanza
Kiuno
Pochi nene
Ni kweli hizo nyimbo nyingi nzuri lakini we umezungumia kwa sasa ndo maana na mi nimekujibu siku za karibuni nyimbo zake zimekuwa za kawaida tu. Kiuno ni wimbo wa kawaida tu kwangu, level yake naiweka sawa na hiyo ex boyfriend ya zamani kidogo.
 
Hao ni mamburura , mpak Nandy atangaze kustaaf mziki sababu ya hasara ndo wataelewa ...kama yaliyomkuta vanesa , sa hv Nandy Hana backup support ya kumsukuma zaid ya misukule akina Mwijaku wacheza porn
Wee mtu usimfananishe Vanessa na hawa watu wenu plz, hayo mahaba yako kwa WCB yawe na mipaka, hao watu wako hawamkuti Vanessa kwa chochote. Kaa kwa kutulia.
Amestaafu mziki unasema wee? Rayvan ile "twerk" aliimba na bibi yako?
Mnapo zungumzia wasanii wa kike Bongo flava, Jide na vee money wawekwe pembeni, halafu wanaobaki ndo muanze kuwa discuss.
Msieeeeeeew.
 
Tatizo shoga kidawa anajichetua mno na kulazimisha kushindana na akina flan , mbona zaman Alikua ana relax tu na anaimba vzur , siku hiz nandy kamekua na sifa za kijinga tofauti na zamani

Kingine pia kuna watu wanamfanyia figisu, industry ya mziki Ina changamoto kubwa sana, kurogana ndo usiseme , Nandy asipokua strong atajikuta anaingia kwenye level za kina Mwasi tu au ruby

But so far , Nandy bado ni Msanii bora wa kike ukizingatia hana management kubwa anajisimamia mwenyew
Binamu huyo zuchu atoke WCB, ajisimamie mwenyewe ndo tuanze kuwashindanisha, Zuchu label inambeba. Hana lolote.
 
Mashabiki wa WCB ni mataahira.

Vipi leo Nandy tena hashindani na Lady Jaydee,

Au kwa kuwa alikuja kumpa support siku ya "I am Zuchu" mmeamua kumpumzisha ??

Mbona ninyi Lady Jaydee hakumpa support siku yake ya 20 Album launch ???

Baada ya kumtumia Gig Money na kumpa airtime amtukane Nandy hamjatosheka kabisa, bado mnapambana naye,

Kwani ni lazima Nandy afulie ili Zuchu awe juu ???

WCB ni mashetani na mikia inayonuka damu kabisa aisee.

Yaani kila kilicho kizuri mnataka kiwe chenu tu.

Na kuna mijbwana inatumiwa tu kama ngazi, kugandamiza watu wengine bila yenyewe kujua.
Haswaaah umenena.
 
Wee mtu usimfananishe Vanessa na hawa watu wenu plz, hayo mahaba yako kwa WCB yawe na mipaka, hao watu wako hawamkuti Vanessa kwa chochote. Kaa kwa kutulia.
Amestaafu mziki unasema wee? Rayvan ile "twerk" aliimba na bibi yako?
Mnapo zungumzia wasanii wa kike Bongo flava, Jide na vee money wawekwe pembeni, halafu wanaobaki ndo muanze kuwa discuss.
Msieeeeeeew.
Oooh mpenziiiii pole na UE
 
Back
Top Bottom