Namzimia na nitammisi sana huyu mbunge

Nasikia Sugu hana shule kabisa kichwani. Sasa mtu kama huyu atafanya kazi gani jamani zaidi ya kubwabwaja tu.

umetumwa umchafue sugu? Kwa taarifa yako sugu sio km unavyomfikiria,wasio na elimu ni Lusinde,Lukuvi na wewe,waulize watu waliwah kuwa karibu na sugu watakupa habar zake,Tuachien sis wana mbeya mbunge we2 tena tunataka 2mfanye wamaisha.

Jenista mhagama
Haswaa yaani ile ameinuka kwenye kiti na mpaka anatoka nje hata nyumba ikiungua siwezi kutambua,mama ana wezere la haja hahaha! Kuna pia kadhaa hawa wa viti maalum tawala/upinzani kweli ni warembo na wana sauti nzuri.

Ntammiss yule mbunge special seat CDM Esther..... Mapozi yake. Na yule mwingne wa ZNZ Mariam Msabaha.

Haswaa yaani ile ameinuka kwenye kiti na mpaka anatoka nje hata nyumba ikiungua siwezi kutambua,mama ana wezere la haja hahaha! Kuna pia kadhaa hawa wa viti maalum tawala/upinzani kweli ni warembo na wana sauti nzuri.
Nadhani hapo kwenye rangi nyekundu ndio sababu ya kuchaguliwa kwao

Kwangu ntammis Sana Halima Mdee. Nataka nimtafute nwambie kitu. Ananivutia the way she appear.

Nasikitika sana bunge linaahirishwa, kiukweli nilikuwa naenjoy sana kukiangalia hiki chombo kinavyotoa speech zake japo nilikuwa sizisikilizi coz muda mwingi niliutumia kuthaminisha sura yake na housing kwa ujumla. Anyway nikipata nauli nitamfuata nikamwambie kuwa mimi kwake ndio vile tena!!!!
View attachment 36057
mbona mbaya?

mbona mbaya?
Kwako mbaya, kwangu mzuri. Basi tukubaliane kuwa uzuri na ubaya haviko kwake ila kwetu; kwa hiyo mind yako imetawaliwa na ubaya (ka hiyo ni mbaya) na mind yangu imetawaliwa na uzuri (kwa hiyo ni nzuri)

Nasikitika sana bunge linaahirishwa, kiukweli nilikuwa naenjoy sana kukiangalia hiki chombo kinavyotoa speech zake japo nilikuwa sizisikilizi coz muda mwingi niliutumia kuthaminisha sura yake na housing kwa ujumla. Anyway nikipata nauli nitamfuata nikamwambie kuwa mimi kwake ndio vile tena!!!!
View attachment 36057

Usione vinaelea......

Nasikia Sugu hana shule kabisa kichwani. Sasa mtu kama huyu atafanya kazi gani jamani zaidi ya kubwabwaja tu.

vip tena bandugu mbona wewe na sugu tuuuuu?Doh angalia bana humu tutawazua mambo then ukakimbia jamvi muraa.
Nakukumbusha tu muraa.

Nasikitika sana bunge linaahirishwa, kiukweli nilikuwa naenjoy sana kukiangalia hiki chombo kinavyotoa speech zake japo nilikuwa sizisikilizi coz muda mwingi niliutumia kuthaminisha sura yake na housing kwa ujumla. Anyway nikipata nauli nitamfuata nikamwambie kuwa mimi kwake ndio vile tena!!!!

Kwa nzuri ni mdada amesomea sheria na anajitahidi kutoa mawazo. Kwa bahati mbaya ana mume wake na ana nafasi nyeti tu

Back
Top Bottom