Namzimia na nitammisi sana huyu mbunge

KIMBURU

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
210
189
Nasikitika sana bunge linaahirishwa, kiukweli nilikuwa naenjoy sana kukiangalia hiki chombo kinavyotoa speech zake japo nilikuwa sizisikilizi coz muda mwingi niliutumia kuthaminisha sura yake na housing kwa ujumla. Anyway nikipata nauli nitamfuata nikamwambie kuwa mimi kwake ndio vile tena!!!!
View attachment kairuki.bmp

kweli kila SHETWANI NA MBUYU WAKE... Mi nita-MISS Sauti ya Bi.Kiroboto... haswa atakaposema kwa Mapozi Mh.KIGWAAAAAAAANGAAALAAAA swaliiiiii laaa nyongezaaa...

Mbunge wa wapi huyo unayemzimia?

kairuki[1].JPG

mi namzimia na ntammiss yule dada anaeongea kwa mapozi ya kisharobaro.jina lake kama la rais alietoka butiama.mia

nitammiss saaana mh. Zitto Kabwe, naskia hajaoa! INSHALLAH ngoja nizidishe maombi huenda MUNGU akanisikia.

Mimi bana naona afadhali yale makelele ya mtoe njeeee! Ndiyoooo!
Hatukubaliiii! Ccm, ccm! Yatakuwa yameisha!
Wabunge niloona ni vifaa ni hawa
zitto
mbowe
beatrice
p msigwa
lissu
filikunjombe
nyerere
henje
ole sendeka
kafulila
mnyika
kuna lim-bungo moja la ccm nimelisahau, lilinifurahisha sana lilikomaa na issue ya CHC
Lema

Anaitwa luoga ccm kibara

Mi ntamkumbuka sana mbunge wa mtera mhe.Lusinde,pia sitamsahau mhe.nyambari nyangwine maliba.

Mimi bana naona afadhali yale makelele ya mtoe njeeee! Ndiyoooo!

Hatukubaliiii! Ccm, ccm! Yatakuwa yameisha!

Wabunge niloona ni vifaa ni hawa

zitto

mbowe

beatrice

p msigwa

lissu

filikunjombe

nyerere

henje

ole sendeka

kafulila

mnyika

kuna lim-bungo moja la ccm nimelisahau, lilinifurahisha sana lilikomaa na issue ya CHC

Lema

mtaje basi na Halima mdee

Hata sielewi mkuu but nahisi ni special seat ngoja nifanye uchunguzi nitafuata popote alipo

Anaitwa Angela Kairuki ni mbunge wa viti maalumu anawakilisha wafanya kazi, kama ulisikiliza michango yake kwa makini alikuwa anatetea sana wafanyakazi.

Nasikitika sana, katika kipindi cha miezi hii mitatu, ratiba yangu ilikuwa inaendana na vikao vya bunge, lakini sasa nitakosa pozi, ile burudani niliyokuwa naipata toka bungeni ndo ishaondoka. kweli ni lazima nisikitike.

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom